Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Dah! Nimecheka sana.Mshaanza kuleta ufafanuzi nyie CCM.Mwisho mtasema AI
Umeamua kumsafisha ?Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mlido na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Tuondolee ujinga wako. Sigrada kalelewa na CCM?, ni rafiki wa Magufuli? alishawahi kutupwa nje ya nchi mbali? yupo Serikalini? Kassim Majaliwa alishawahi kumsema? Wewe ni hamnazo. Jinga JingaInasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mlido na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Umetumwa kufanya ufafanuzi.Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mlido na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Kwahiyo Yuda limekuwa jina la kike sasa😂Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Mligo alirushwa mbali Huko na magu?Ni Nkimbi!Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
naniYuda ni mke wa mvuvi wa kasa wa Kizimkazi.
Sarakasi za sisiemu tu kutuhamisha akili. Free Tundu lissu, uchaguzi huru mara moja ufanyike na wote waliohusika kuua ndugu zetu tarehe 29 wanyongwe.Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Yusta yule aliekuwa akisemwa.Kwahiyo Yuda limekuwa jina la kike sasa😂
Wadanganye wajinga wenzioInasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.