Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,456
- 1,366
Na ni lini ameonekana makanisani??Muuza kangala kalewa kangala. Kwa hiyo huyu Sigrada sijui yupo ndani ya serikali?
Na ni lini ameonekana makanisani??Muuza kangala kalewa kangala. Kwa hiyo huyu Sigrada sijui yupo ndani ya serikali?
Fala huyo mleta madaNa ni lini ameonekana makanisani??
Sigrada yuko kwenye serikali ipi?Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Anazo zote, anajitoa akili tu makusudi.Tuondolee ujinga wako? Sigrada kalelewa na CCM, ni rafiki wa Magufuli, alishawahi kutupwa nje ya nchi mbali, yupo Serikalini, Kassim Majaliwa alishawahi kumsema? Wewe ni hamnazo.
Tena kichwa chake kimebeba maviTuondolee ujinga wako? Sigrada kalelewa na CCM, ni rafiki wa Magufuli, alishawahi kutupwa nje ya nchi mbali, yupo Serikalini, Kassim Majaliwa alishawahi kumsema? Wewe ni hamnazo.
Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Mkuu rudia tena kusoma. Huyu mlevi wa kangara ameshalewa na sasa anapiga vijembe na kuchochea moto... Sentensi hii ina maana sana: ''Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM''Mshaanza kuleta ufafanuzi nyie CCM.Mwisho mtasema AI
Jamani msomeni tena. Anachonganisha huyu... anakoleza moto. Unakumbuka enzi za utoto tulivyokuwa tunachonganisha ngumi? Unamwambia mwenzeko '' haiwezekani mwambo kama wewe udhalilishwe na yule mjinga'' ...kumbe unataka zipigwe.Sigrada yuko kwenye serikali ipi?
Mnatuona nyani?
Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Kwa hiyo wewe ndiye umepewa kazi ya kuja kurekebisha uchafu hapa?Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi.
Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
Inawahusu sana tu. Kama hivi CDM yote imehamia kwenye uzi huu. Yaani nyie mkipigiwa kidg tu basi mnademka kuliko ht wenye ngoma yao.Mshaanza kujitetea. Inatuhusu nini sisi hiyo mioaruano yenu?
TETESI TOKA MAKTABA :
Abeba mikoba nafasi ya Kaimu rais (acting) Nchimbi na alishaanza mawasiliano na marais wenzie
TOKA MAKTABA :
Anasubiri kukaimu nafasi ya urais Samia akienda kujibu mashtaka Mahakama ya ICC Uholannzi
Muda huu Nchimbi anazunguka Congo na Zambia kuendelea kujitambulisha kama kaimu rais
11 June 2026
BREAKING ! SAMIA KUMNG'OA NCHIMBI PUNDE | HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAKAMU KUWASILISHWA BUNGENI
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZY0-McsJUgM
BREAKING! SAMIA KUMNG'OA NCHIMBI PUNDE | KURA BUNGENI YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAKAMU
Source : Jasusi TV