Hamkani si shwari Msimbazi

Hamkani si shwari Msimbazi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Tutaonana mwakani ndugu zangu kwa sababu hamna maarifa.Mnaoroga wachezaji ili waonekane hawajui mpira, ionekane usajili haukuwa mzuri ili mpige hela tena, mnaroga wachezaji ili wachukiwe na mashabiki endeleeni hivyo hivyo, ushirikina wa leo ndio ulikuwa kiboko maana tulikuwa tunacheza utadhani Kilwa Boys, kila mchezaji akiingia ni afadhali aliyetoka, mpango huo utaendelea had waliopo uongozini waachie timu na mfadhili ajiondoe ndio mtaiona timu ya kweli ila kwa sasa mtasubiri sana.Huyo kocha mpya anakuja kupiga hela tu wala hana uwezo wa kuleta maajabu kwenye timu iliyokosa umoja na mshikamano.

Wachezaji wasilaumiwe, kwa mtu anayejua boli akiwaangalia anajua kabisa hawa wamewekewa vitu maana duh.Ya leo kali.

Sijataja timu mimi.
 
Leo uko sahihi. Onana game ya kwanza ya msimu aliingia akapiga fyongo mbili hatari nikasema huyu kwisha habari yake, kashachezewa huyu. Sasa hivi kapoteza confidence yote maskini ya Mungu, yupo yupo tu ka zezeta.

Mechi ya leo hasa kipindi cha pili itaingia katika historia ya Simba kwa kweli. Pira bovu haustahili hata kuitwa football.
 
Robatinho katolewa kafara ila bado haijulikani nani kabaki anairoga team [emoji16][emoji16][emoji112]. Na bado!
 
Back
Top Bottom