Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Tutaonana mwakani ndugu zangu kwa sababu hamna maarifa.Mnaoroga wachezaji ili waonekane hawajui mpira, ionekane usajili haukuwa mzuri ili mpige hela tena, mnaroga wachezaji ili wachukiwe na mashabiki endeleeni hivyo hivyo, ushirikina wa leo ndio ulikuwa kiboko maana tulikuwa tunacheza utadhani Kilwa Boys, kila mchezaji akiingia ni afadhali aliyetoka, mpango huo utaendelea had waliopo uongozini waachie timu na mfadhili ajiondoe ndio mtaiona timu ya kweli ila kwa sasa mtasubiri sana.Huyo kocha mpya anakuja kupiga hela tu wala hana uwezo wa kuleta maajabu kwenye timu iliyokosa umoja na mshikamano.
Wachezaji wasilaumiwe, kwa mtu anayejua boli akiwaangalia anajua kabisa hawa wamewekewa vitu maana duh.Ya leo kali.
Sijataja timu mimi.
Wachezaji wasilaumiwe, kwa mtu anayejua boli akiwaangalia anajua kabisa hawa wamewekewa vitu maana duh.Ya leo kali.
Sijataja timu mimi.