Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Watanzania wengi ni watumwa wa lugha.Mbona wazungu wakiongea kiswahili kibovu hamshangai?
Harmo ni project ya kufubaza harakati za ukombozi wa TanganyikaNimemwona Hammo rapa akiongea kiingereza kibovu kiasi kwamba analitia aibu taifa. Majirani zetu Wakenya wakiona hii ndio watatucheka kabisa.
Wizara inayohusika na sanaa impige matuguku homo rapa kuongea kiingereza.
Ni ushauri tu nimetoa.
Professor J Ndalicha..Kama kuna viongozi hawajui kuongea hiyo lugha licha ya kuwa na pHD sembuse msanii harmo rappa?
Shilole...mieka 3 taalishangaza taifa
Ni kweli japo naona amefanya vizuri mahali ambapo sio sahihi.....Unahati mmiliki na Kiingereza?
Yawezekana kwa alikofikia anakuzidi mbali Sana. Mtu katika zero kabisa lakini Sasa hivi anamumunya makorokocho ya kuchanganywa tense lakini auni aibu. Hiyo ndio Siri ya kujifunza kiingereza Cha kuongea huyo baada ya mieka 3 taalishangaza taifa
Haki ya nani cha kwangu kumbe ni kizuri! "Elimu haina mwisho" tafasri hapo mkuu!Nimemwona Hammo rapa akiongea kiingereza kibovu kiasi kwamba analitia aibu taifa.
Majirani zetu Wakenya wakiona hii ndio watatucheka kabisa.
Wizara inayohusika na sanaa impige marufuku Hamorapa kuongea kiingereza.
Ni ushauri tu nimetoa.
hewalaaa!Professor J Ndalicha..
hewalaaa!Professor J Ndalicha..
Hamorapa na 90% ya celebrities wa Tanzania sijaona tofauti yao, tena bora yeye yake ni comedic so it’s fun and fancy-free.Nimemwona Hammo rapa akiongea kiingereza kibovu kiasi kwamba analitia aibu taifa.
Majirani zetu Wakenya wakiona hii ndio watatucheka kabisa.
Wizara inayohusika na sanaa impige marufuku Hamorapa kuongea kiingereza.
Ni ushauri tu nimetoa.
Haaaha 😆Nyie mchekeni sana ila hamjawahi kumsikia JUMA HOMERA akiwa anatema ung'eng'e siku mkimsikia mtakuja tena hapa kumuomba msamaha Harmorapa
Haaaha 😆Nyie mchekeni sana ila hamjawahi kumsikia JUMA HOMERA akiwa anatema ung'eng'e siku mkimsikia mtakuja tena hapa kumuomba msamaha Harmorapa