Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Hope hujawahi fanya kazi na wazungu hapa Tanzania.
Mimi mtu siwezi mshangaa kisa kakosea kuongea lugha isiyo yake zaidi nampongeza tu.
Wazungu wakiongea kiswahili cha ovyo mnawapigia makofi wamejitahidi sisi tukiongea kimombo cha ovyo mnatuzomea na kutuona si chochote.
Tz inawatu wajinga sana asee.