M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Mlangoni ndiyo sehemu sahihi ya kuweka viatu?Ni kweli japo naona amefanya vizuri mahali ambapo sio sahihi.....
Ukiweka viatu juu ya meza ya chakula vinakuwa uchafu, ila viatu hivyo hivyo ukiviweka mlangoni vinakuwa sehemu sahihi.
Mzungu akiongea kiswahili kibaya anapongezwa anaambiwa anajitahidi ila mswahili akiongea kiingereza kibaya tunamcheka na kuona aibuMbona wazungu wakiongea kiswahili kibovu hamshangai?
Mlangoni ndiyo sehemu sahihi ya kuweka viatu?
Ni uchafu km viatu vina mavi....Usibadilishe mada.....
Ukivua viatu mlangoni kwako ukaingia ndani haina shida, ila ukaingia navyo nyumbani kwako ukaviweka juu ya meza ya daining rum ni uchafu!
Waswahili tuna matatizo sanaMzungu akiongea kiswahili kibaya anapongezwa anaambiwa anajitahidi ila mswahili akiongea kiingereza kibaya tunamcheka na kuona aibu
Huu ndio unaitwa ulemavu Wa akili
Kubadilisha mada? I just asked a very simple and straightforward question na hayo ya mada hamjazuiwa kuendelea nayo. Are you that dumb to the extent of not being capable of understanding simple questions?Usibadilishe mada.....
Ukivua viatu mlangoni kwako ukaingia ndani haina shida, ila ukaingia navyo nyumbani kwako ukaviweka juu ya meza ya daining rum ni uchafu!
Anazidi kuwapa wakenya credit. Naogopa wakiona na hii watatucheka sana.Mtoa mada apuuzwe, huwezi kumpangia mtu namna ya kuzungumza lugha hata kama anakosea atajua taratibu.
Wachina wanaongea Kichina lakini kina manufaa kwa sababu nchi yao imeendelea kiteknolojia sana, wanatumia lugha zao wenyewe kiteknolojia na mtu anaweza kuwa genius asijue Kiingereza na asikose cha kufanya nchini kwake maana viwanda ni vingi, makampuni ni mengi, teknolojia ni ya kufa mtuWatanzania wengi ni watumwa wa lugha.
Hata uwe vipi usipojua English watakuona si chochote kabisa,sasa cha ajabu hawamshushi thamani Mchina asiejua kuongea kingereza.
Wewe jamaa unawazaga upuuzi sana muda wote.Harmo ni project ya kufubaza harakati za ukombozi wa Tanganyika
Hapo kwenye makorokocho ya kumix tense nimecheka mpaka machozi 😹😹😹Unahati mmiliki na Kiingereza?
Yawezekana kwa alikofikia anakuzidi mbali Sana. Mtu katika zero kabisa lakini Sasa hivi anamumunya makorokocho ya kuchanganywa tense lakini auni aibu. Hiyo ndio Siri ya kujifunza kiingereza Cha kuongea huyo baada ya mieka 3 taalishangaza taifa