Hammo Rapper apigwe marufuku kuongea kiingereza. Analitia aibu taifa

Hope hujawahi fanya kazi na wazungu hapa Tanzania.
Mimi mtu siwezi mshangaa kisa kakosea kuongea lugha isiyo yake zaidi nampongeza tu.

Wazungu wakiongea kiswahili cha ovyo mnawapigia makofi wamejitahidi sisi tukiongea kimombo cha ovyo mnatuzomea na kutuona si chochote.

Tz inawatu wajinga sana asee.
 
Aendelee kutema ngeli ipo siku British council watampa shavu
Kaza mjukuu unaweza ukauaga umaskini
 
Atakuwa kapiga tu picha na hilo joho,huwezi kugraduate halafu ukaongea kiingereza kibovu hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…