1.Yaan unaingia gharama kutafuta wakili..
2. Inachukua muda kuendeshwa..
3. Nado ukishinda unalipwa kwa mafungu mafungu yaani inachukua muda mtu kumaliza kiasi unachomdai..
4. Ukishinda mdai anakata rufaa muda unazidi kwenda na ww unashida na hela yako..yaan daah
5. Dhamana zenyew wanazotupa tuliowakopesha nyingi ni manjilinji tukizipeleka mahakaman km ushahidi..km sio feki basi zimekopewa sehemu kibao au zina mgogoro
Yaan ningejua bora ningeendelea na ule utaratibu alivyokuwa ananilipa japo kwa kusumbuana mpaka sasa angekuwa kamaliza deni..ila sio kuja huku..
NB: kupitia kesi hii nimejifunza mengi kwa kukutana na wadai wenzangu,tena wengine vibopa ila cha moto wanakiona
Wadaiwa huku hugeuka wafalme..yaan kuna mwamba nlimsikia kwa masikio yangu akimwambia mdaiwa wake anaenda kumroga..baada ya kuona mambo hayaendi alafu hana cha kumfilisi mdaiwa..