Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 214
Pole kama yamekukuta!! Karibu tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well presentedDear unajua tatizo la mtu ni vile anavolichukulia kuwa ni tatizo, haya ndiyp maisha tuliyonayo, huwezi kuyakwepa, iwe ni ofisini au majumbani tulikopanga hakuna penye afadhali, na biblia inasema hivi kila palipo na dhihirisho la watu 10 hapo lazima pepo mchafu yupo.
hata kama tukikwazana ukinatungia thread mpya, mm hainijalishi, hainitishi, wala hainibabaishi kwa kuwa hakuna mwanadamu anayeweza kukufurahisha hata siku moja!!! cha msingi mtu atizame maisha yake na Mungu wake tu, inatosha.