Unachosema ni sahihi kabisa,kuendesha biashara hapa nchini ni mtihani sana lkn tukakomaa tu hamna namna na ndio maa biashara zetu hazikui….maana ukikaa hv TRA hao,wakitoka watakuha FIRE,mara TBS ,mara LEVY,Mara LESENI yaani kuna utitiri wa vikodi ambavyo havina msingi kabisa.
Gharama za kufanya biashara hapa nchini ni kubwa sana!
Nchi zote vipo lakini ni kodi rafiki
Tatizo wabunge wengi na mawaziri wengi ni watu waliotoka sekta ya kuajiriwa sio ya biashara au viwanda wamiliki
Nyerere mfano aluanza vizuri sana unakuta mawaziri wake wengi walitoka sekta binafsi husika wizara nyeti mfano 8nakuta viwanda au biashara na fedha anampa mhindi Amir Jamaa ambbaye wahindi wenzie ndio walio wengi na wenye pesa ukija afya unakuta muitaliano Katoliki Dr Leader string kama sikosei spelling whatever ambaye ni Daktari toka private sector kanisa katoliki likiwa linaongoza kwa kuwa na hospitali nyingi anapewa uwaziri
Ndio maana viwanda vingi sana vilijengwa
Sasa hivi tunasema nchi ina uwakilishi angalia mawaziri ni aibu hawatokani na sector zilizoko mtaani ni ma ex employees tu tena mengi ya serikali na wachache walikuwa waajiriwa private sector ndio maana wakishika wakikutana na wamiliki wanakuwa na inferiority complex na maamuzi wakitoa yanakuwa ya kijinga ya kujionyesha tu wao ni nani
Mwawaziri watoke sekta husika mfano kama ni usafirishaji wapewe watu kama shabby nk
Viwanda wapewe uwaziri watu kama Mo Dewji ,Akina Bakheresa huko nk
Fedha wapewe wamiliki sekta Binafsi ya fedha na nk
Kilimo na mifugo wapewe wanaolima na kufuga akina ASAS nk kuwa mawaziri
Wanaoijua sekta hizo practically
Hapo wakishika mipango itatulia kila kona sababu watataka sekta yao ikue kila mmoja kwa eneo lake na nchi itasongq mbele
Lakini kuendekeza kujaza hawa vibarua ex employees wa serikali kujaa bungeni na kuwapa uwaziri ni vigumu sana nchi kwenda mbele