Na wewe chuki zako kwangu na kwa wengine hasa wasanii kunakusaidia nini?Kutukana kwako Kuna faida gani?
Wasanii gani Nina chuki nao?Na wewe chuki zako kwangu na kwa wengine hasa wasanii kunakusaidia nini?
Aseeh! Kweli nyani haoni kundule..Wasanii gani Nina chuki nao?
Wewe upande ndege na harmonize WCB mmeishiwa kwanza leo konde yupo burundiBila kuwachosha, moja kwa moja kwenye maada.
Jana nimekutana na Hamonize kwenye ndege toka Nairobi kuja Dar (KQ486), kwa maongezi yao na aliokuwa nao inaonekana alitokea SA.
Kilichonikera toka kwa huyu bwana ni mdomo mchafu, anatoa maneno machafu bila kujali kwenye ndege ile kuna watu wazima wenye busara zao. Alikuwa na dada mmoja akafikia hatua ya kumwambie aache kutukana.
Wasanii nyie ni kioo cha jamii, siyo sawa kuwa na tabia za kihuni bila kujali mazingira na watu mlionao kwa wakati huo.
Mwisho, nendeni shule itawasaidia katika mziki wenu.
Team domo chafu uyoVideo au Picha ya hayo matusi iko wapi? Umetumwa?
Hongera kwa kupanda ndege
Ila gwajima anatomba kama harmonizeHao wasanii unaoita ni kioo cha jamii. Ni jamii gani unayoizungumzia? Sijaona mpaka sasa shekh, padri,mchungaji au baba paroko ambaye amenyoa au kutembea kama harmonize. Jamii ipi unaizungumzia mleta mada? Mabel
Aliyekutuma ukubali kuwapa wote wawili kisha ulete mrejesho hapa jamvini kakuweza sana.
nikikujibu unavyotaka nitapigwa banAliyekutuma ukubali kuwapa wote wawili kisha ulete mrejesho hapa jamvini kakuweza sana.
Mods wote wapo Mlimani City, nijibu tu
Hakunaga ki mtu sikipendi kama kile kijamaa
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Muacheni kijana wa watu aijimwambafy maana kutoboa kwenye game ya music internationally sio masikhara, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] konde gang uwiiiiiiiiiiih lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaomwambia mleta mada kwamba jana kapanda ndege mkae mkijua kupanda ndege sio bahati mbaya. Ni kama nyinyi tu mnavyokwea mwendo kasi.
Ashawahi kuwa kinega ( mmwaga zege).. msamehe bureBila kuwachosha, moja kwa moja kwenye maada.