Hamonize: Wewe ni kioo cha jamii, jiheshimu acha mdomo mchafu

Bila kuwachosha, moja kwa moja kwenye maada.

Jana nimekutana na Hamonize kwenye ndege toka Nairobi kuja Dar (KQ486), kwa maongezi yao na aliokuwa nao inaonekana alitokea SA.

Kilichonikera toka kwa huyu bwana ni mdomo mchafu, anatoa maneno machafu bila kujali kwenye ndege ile kuna watu wazima wenye busara zao. Alikuwa na dada mmoja akafikia hatua ya kumwambie aache kutukana.

Wasanii nyie ni kioo cha jamii, siyo sawa kuwa na tabia za kihuni bila kujali mazingira na watu mlionao kwa wakati huo.

Mwisho, nendeni shule itawasaidia katika mziki wenu.
Wewe upande ndege na harmonize WCB mmeishiwa kwanza leo konde yupo burundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu

hio ni personal life ya mtu, nyuma ya camera
 
Hayo maneno machafu yako wapi tuyafanyie tathmini?
 
Bila kuwachosha, moja kwa moja kwenye maada.

Jana nimekutana na Hamonize kwenye ndege toka Nairobi kuja Dar (KQ486), kwa maongezi yao na aliokuwa nao inaonekana alitokea SA.

Kilichonikera toka kwa huyu bwana ni mdomo mchafu, anatoa maneno machafu bila kujali kwenye ndege ile kuna watu wazima wenye busara zao. Alikuwa na dada mmoja akafikia hatua ya kumwambie aache kutukana.

Wasanii nyie ni kioo cha jamii, siyo sawa kuwa na tabia za kihuni bila kujali mazingira na watu mlionao kwa wakati huo.

Mwisho, nendeni shule itawasaidia katika mziki wenu.
Ashawahi kuwa kinega ( mmwaga zege).. msamehe bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom