Hamonize: Wewe ni kioo cha jamii, jiheshimu acha mdomo mchafu

Mnaomwambia mleta mada kwamba jana kapanda ndege mkae mkijua kupanda ndege sio bahati mbaya. Ni kama nyinyi tu mnavyokwea mwendo kasi.

Haaaaaah alafu watu Wa vijijini wakisikia jamaa yao yupo Bongo anapanda Mwendo kasi wanapatwa na msingi wa mawazo Na wao wataipanda lini?
Maisha Bwana ni safari ndefuuu!!!
 
Hao wasanii unaoita ni kioo cha jamii. Ni jamii gani unayoizungumzia? Sijaona mpaka sasa shekh, padri,mchungaji au baba paroko ambaye amenyoa au kutembea kama harmonize. Jamii ipi unaizungumzia mleta mada? Mabel
 
sijaona sehemu ambayo huyu kijana anachukiwa kama jukwaa hili la 'magreat thinkers'!!!! ahsante Mungu, mdogomdogo anajipigia hatua kijana wa watu...tupende tusipende, ametuzidi haswaaa wengi tunaopiga kelele humu. tumebaki tu na hiki kijititle fake tulichojipatia cha ugreat thinker. ndiyo, amezidiwa sehemu flani na wenzake aliowakuta au alioanza nao lkn ndivyo maisha yalivyo hatuwezi kuwa sawa. tunataarifiwa leo kuwa tiketi za koffi olomide zote zimeshauzwa. nani kawahi kufanya hivyo? kama bado basi tukae tuwaponde kina diamond? utakuwa ni uchizi. harmonize kama harmonize amejipigia hatua kubwa tu kibongobongo......na bado anakuja
 
Hakunaga ki mtu sikipendi kama kile kijamaa

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Utawezaje kumpenda huyo jah usiemuona. Ikiwa unamchukia binadamu mwenzako unaemuona?
sijaona sehemu ambayo huyu kijana anachukiwa kama jukwaa hili la 'magreat thinkers'!!!! ahsante Mungu, mdogomdogo anajipigia hatua kijana wa watu...tupende tusipende, ametuzidi haswaaa wengi tunaopiga kelele humu. tumebaki tu na hiki kijititle fake tulichojipatia cha ugreat thinker. ndiyo, amezidiwa sehemu flani na wenzake aliowakuta au alioanza nao lkn ndivyo maisha yalivyo hatuwezi kuwa sawa. tunataarifiwa leo kuwa tiketi za koffi olomide zote zimeshauzwa. nani kawahi kufanya hivyo? kama bado basi tukae tuwaponde kina diamond? utakuwa ni uchizi. harmonize kama harmonize amejipigia hatua kubwa tu kibongobongo......na bado anakuja
Hii imfikie innocent dependent aka juma lokole
 
Utawezaje kumpenda huyo jah usiemuona. Ikiwa unamchukia binadamu mwenzako unaemuona?
na uelewa wangu mdogo kuhusu watu wa JAH ni kuwa kwao chuki au utengano ni mwiko. hawatumii kabisa neno 'wewe'. "mimi na wewe" wao husema "mimi na mimi................I and I". yote hii katika kuonyesha upendo na umoja
 
ni mnafki tu huyo kindamba
 
We jamaa una roho mbaya
nadhani ni wewe tu unaona hivyo. Ila uyo jamaa aliesema anamchukia binadamu mwenzake bila sababu ndo hana roho mbaya. Ila Mimi niliemrekebisha ndo nna roho mbaya?..

Mashoga mna tabu sana mjini hapa
 
Wewe na huyo wote roho zenu mbaya nasijui mnapata faida gani lakini nimekupoint wewe cos muda mchache umeandika comment mbaya na yenye husuda eti utafurahi queen darling akifa hivi akifa wewe utapata faida gani? Honest mimi Huyu dada simkubali ila hiyo ainifanyi ni mchukie au niongee maneno machafu hiv wewe jamaa unaendaga kweli msikitini au kanisani kweli?
 
Onyesha niliposema "ntafurahi akifa " .nasubiri sasa hivi.. Hapa..

Wewe dada huwaga umesahau ule msemo wa toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzako..

Niishie hapa maana nimetoka kansani leo na sitaki kubishana na mke wa mtu kwani najishushia heshima..
 
Kutukana kwako Kuna faida gani?
 
Back
Top Bottom