Naked truthHuyo P Funk majani na huyo Juma nature zama zao zimeshakwisha hawana impact yoyote kwenye anga ya mziki kwa sasa na wao wanataka kutafuta kiki tu nao wasikike basi .
Kama wanatafuta Kiki kwa HarmoRapa basi dogo kishatusua maana mpaka Wcb nao walitafuta Kiki kwake kwa kumwita nyani.Huyo P Funk majani na huyo Juma nature zama zao zimeshakwisha hawana impact yoyote kwenye anga ya mziki kwa sasa na wao wanataka kutafuta kiki tu nao wasikike basi .
Ata mimi ndicho ninachokipenda kwa huyu dogo, anasema kweli na hafichi.Ninachompendea anasema ukweli
Acha apoteze kwani hela yako? Pilipili ipo shamba kwanini inakuwasha?.. You people dont understand what investment means.... We unadhani kuna mtu mwenye hatimiliki ya mafanikio... Kama ni kutoka atatoka hivo hivo tu..Yule mama sijui ana akili gani au ana malengo gani!!
Anawekeza pesa nyingi sana kwa huyu dogo Harmorapa ambaye si kurap tu bali hata kuzungumza hawezi!!
P funk na Necha weshachukua mizigo yao hapo, na media msimu huu zinafaidi kwelikweli hela za bure kwa promo ya huyu bwana mdogo!!
Nimeipenda sana hii[HASHTAG]#HarmoRapa4MtvAward2017[/HASHTAG]
Ngoja nijarbu kutypeNasikia kuna ngoma anatoa na Jay Z. Harmorapa kawakamata pabaya sana mwaka huu. Yaani hata google ukianza kutype "Har" automatically inakuja "Harmorapa" siyo "Harmonize"
Simu ilikuwa haina chaji weka chaji kwanza.View attachment 479731...Huyu jamaa apo level zakee
Loosers at their bestKweli milango ikifunguka hakuna namna.Hamorapa kusindikizwa na P Majan studio?.kama IPO IPO tu
Well said bro