Hamorapa na P Majani ndani ya FNL, Majani amshauri Harmorapa kubadili jina anampa kiki Harmonize

Hamorapa na P Majani ndani ya FNL, Majani amshauri Harmorapa kubadili jina anampa kiki Harmonize

tupo vizuri sanaa huyu atafika mbali..
HARMORAPA4444.jpg
P-Funk na hamorapa.jpg
 
Huyo P Funk majani na huyo Juma nature zama zao zimeshakwisha hawana impact yoyote kwenye anga ya mziki kwa sasa na wao wanataka kutafuta kiki tu nao wasikike basi .
Kama wanatafuta Kiki kwa HarmoRapa basi dogo kishatusua maana mpaka Wcb nao walitafuta Kiki kwake kwa kumwita nyani.

[HASHTAG]#HarmoRapa4mtvAward2017[/HASHTAG]
 
Yule mama sijui ana akili gani au ana malengo gani!!

Anawekeza pesa nyingi sana kwa huyu dogo Harmorapa ambaye si kurap tu bali hata kuzungumza hawezi!!

P funk na Necha weshachukua mizigo yao hapo, na media msimu huu zinafaidi kwelikweli hela za bure kwa promo ya huyu bwana mdogo!!
Acha apoteze kwani hela yako? Pilipili ipo shamba kwanini inakuwasha?.. You people dont understand what investment means.... We unadhani kuna mtu mwenye hatimiliki ya mafanikio... Kama ni kutoka atatoka hivo hivo tu..
 
Nasikia kuna ngoma anatoa na Jay Z. Harmorapa kawakamata pabaya sana mwaka huu. Yaani hata google ukianza kutype "Har" automatically inakuja "Harmorapa" siyo "Harmonize"
 
Nasikia kuna ngoma anatoa na Jay Z. Harmorapa kawakamata pabaya sana mwaka huu. Yaani hata google ukianza kutype "Har" automatically inakuja "Harmorapa" siyo "Harmonize"
Ngoja nijarbu kutype
 
Harmorapa ndio MC aliyebaki yeye na Fid Q
 
wengine wanaposema tatizo nyota kwake ni tatizo sura sijui akiwa msalani sura inakuwaje yan
 
Back
Top Bottom