Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Kabisa...Harmo kahama WCB?
Konde boy hawezi kuhama WCB ana ngoma kali nyingiiii sanaaa acheni uongo hamna ushahidi harmo anashinda mapambano muda mwingiHakuwahi kuwa WBC na hatowahi kuhusu WBC namzungumzia Hamornize ndiyo aliyekuwepo WBC label.
ThibitishaKabisa...
[emoji23][emoji23]Ukute ni nyimbo mpya inaitwa visa [emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mondi juzi kamchana Konde boi kuwa ana tamaa. Harmo katoa signed under WCThibitisha
Kamchana wapi riki? Harmo anatengeneza trend tu na mtamzungumzia sanaaaaa sasa hivi ma master wa muziki wapo WCB[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mondi juzi kamchana Konde boi kuwa ana tamaa. Harmo katoa signed under WC
Juzi kati mond kamchana Harmo kuwa ana tamaa... harmo kanfollow Kiba... harmo katoa yale maneno signed Under WCB kwenye bio yake... Armo ana Gang lake jipya na managerThibitisha
Sio kweli..matizo ya visa yanaweza mkuta yeyote...wcb hawana ufunguo wa maisha ya mtuNadhani mikosi imeanza ulivyohama WBC.View attachment 1177948
Either wanatengeneza Kiki au kweli harmo kasepa WCB bhasi...!! Ila kusema hakuna kinachoendelea ni Uongoo Mpaka Harmo leo anazuiliwa Kuingia USA kisa hana Visa alafu wewe bado hushtuki tu...??? Harmo kaenda marekani mara ngapi???Kamchana wapi riki? Harmo anatengeneza trend tu na mtamzungumzia sanaaaaa sasa hivi ma master wa muziki wapo WCB
.
Katoa Signed under WCB ila kaweka WCB4LIFE wewe unaelewa nini?
Nina mwanangu Wasafi media anaitwa Ton cousin anasema na bado burudani imezaliwa uuuupyaaa wanaishika wao kweli wabongo wape picha tu caption wataweka wao, Email ya harmo iko under Wasafi management sasa mbona hajaitoa aweke ingine?
Unaniangusha sana Riki
Misumari..hata Mimi najiuliza ..wasanii wakubwa hivyo visa isumbue?? Mmh iko chawi hapo ( in muhindi voice)Wachawi tale na fella wameshafanya yao
[emoji23][emoji23][emoji23]Je, Ali Kiba amepata VISA?
Ali kiba hua pia anakosa visa lakin hajionyeshi [emoji23][emoji23]Je, Ali Kiba amepata VISA?
Mtadanganyana sana, Marekani ya vikindu au...Aisee Ni Hatarii
Ni lazima awepo wcb , amekua mke huyo wcbHivi huyu Konde boy no kweli kaondoka WCB...!?
Mbona atajibebaa!!?
Hivi yuko aware kwamba nje ya WCB he is just an arse...!!!?
Aisee ajitafakari.
Hihihihihiii bado tu unaniangusha hujawahi kusafiri kwenye nchi zinazohitaji visa itakuwa.Either wanatengeneza Kiki au kweli harmo kasepa WCB bhasi...!! Ila kusema hakuna kinachoendelea ni Uongoo Mpaka Harmo leo anazuiliwa Kuingia USA kisa hana Visa alafu wewe bado hushtuki tu...??? Harmo kaenda marekani mara ngapi???
Nipe link nikapaone alipomchana kuwa ana tamaa humu kazi kweli kweliJuzi kati mond kamchana Harmo kuwa ana tamaa... harmo kanfollow Kiba... harmo katoa yale maneno signed Under WCB kwenye bio yake... Armo ana Gang lake jipya na manager