Hamornize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia Marekani kwa ajili ya show,huku Diamond Platinumz afanikisha katika tamasha la oneafrica_music festival.

Hamornize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia Marekani kwa ajili ya show,huku Diamond Platinumz afanikisha katika tamasha la oneafrica_music festival.

Hakuwahi kuwa WBC na hatowahi kuhusu WBC namzungumzia Hamornize ndiyo aliyekuwepo WBC label.
Konde boy hawezi kuhama WCB ana ngoma kali nyingiiii sanaaa acheni uongo hamna ushahidi harmo anashinda mapambano muda mwingi
 
Kukosa Visa kwa msanii ni ngumu sana. Wengi hupata.
Kama Shilole alipata atashindwa Harmo na Nandy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mondi juzi kamchana Konde boi kuwa ana tamaa. Harmo katoa signed under WC
Kamchana wapi riki? Harmo anatengeneza trend tu na mtamzungumzia sanaaaaa sasa hivi ma master wa muziki wapo WCB
.
Katoa Signed under WCB ila kaweka WCB4LIFE wewe unaelewa nini?
Nina mwanangu Wasafi media anaitwa Ton cousin anasema na bado burudani imezaliwa uuuupyaaa wanaishika wao kweli wabongo wape picha tu caption wataweka wao, Email ya harmo iko under Wasafi management sasa mbona hajaitoa aweke ingine?

Unaniangusha sana Riki
 
Either wanatengeneza Kiki au kweli harmo kasepa WCB bhasi...!! Ila kusema hakuna kinachoendelea ni Uongoo Mpaka Harmo leo anazuiliwa Kuingia USA kisa hana Visa alafu wewe bado hushtuki tu...??? Harmo kaenda marekani mara ngapi???
 
Hivi huyu Konde boy no kweli kaondoka WCB...!?

Mbona atajibebaa!!?

Hivi yuko aware kwamba nje ya WCB he is just an arse...!!!?

Aisee ajitafakari.
Ni lazima awepo wcb , amekua mke huyo wcb
 
Harmonise katoa nyimbo zaidi ya 10 zinafuatilieni views zake YouTube kabla ya kumpa kibri...

Kwanza dogo yupo under wcb bado na pili hata akitoka basi mjue kabisa hafiki mbali maana kuna kitu kakosa nacho Ni ubunifu katika nyimbo na kipaji hicho bongo anacho Simba mwenyewe basiiiiiii.
 
Mimi nilipata VISA yakwenda marekani mwaka jana kujiamini tu.
Swali lakwanza unaitwa nani
KATOTO KAZURI
makazi yako
ARUSHA
Umeolewa
HAPANA
Unawatoto Sina
Unajishughulisha na nini?
MWANAFUNZI NA MENGINEYO.
Huko nchini kwetu unaenda kufanya nini??
Naenda kula likizo na kufanya kashopping.
Je unanani wa kukusponsor ukiwa huko kama huna huendi hata ukitaka kuloga.
Sisemi hapo .
Mwisho subiri tujadili saivi saa tatu kamili saa tisa kamili kama umepita utaambiwa ila kama hujapita byeee.
Sasa baada ya masaa kadha a katoto kazuri welcome to Usa .
For 1 month and ahalf.
Sasa harmonize hana mwenyeji ikitokea tabu yeyote hata nandy diamond ni timu inayojiweza.
 
Either wanatengeneza Kiki au kweli harmo kasepa WCB bhasi...!! Ila kusema hakuna kinachoendelea ni Uongoo Mpaka Harmo leo anazuiliwa Kuingia USA kisa hana Visa alafu wewe bado hushtuki tu...??? Harmo kaenda marekani mara ngapi???
Hihihihihiii bado tu unaniangusha hujawahi kusafiri kwenye nchi zinazohitaji visa itakuwa.
.
Huyu sio wa kwanza Ommy dimpoz hadi alikaa jela, kule sio S.A kwamba kuna Visa free hii changamoto hata mimi iliwahi kunikuta enzi nasafiri na familia yangu nikiwa kama mtoto kwenda Christmas Gothenburg inaweza kumkuta kila mtu come on ninja achana na wenye uelewa finyu
 
Juzi kati mond kamchana Harmo kuwa ana tamaa... harmo kanfollow Kiba... harmo katoa yale maneno signed Under WCB kwenye bio yake... Armo ana Gang lake jipya na manager
Nipe link nikapaone alipomchana kuwa ana tamaa humu kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom