Haya sawa... Tupo humu utakuja kuona!! Ila jua tu Harmo na Mond hawaivi tena.Hihihihihiii bado tu unaniangusha hujawahi kusafiri kwenye nchi zinazohitaji visa itakuwa.
.
Huyu sio wa kwanza Ommy dimpoz hadi alikaa jela, kule sio S.A kwamba kuna Visa free hii changamoto hata mimi iliwahi kunikuta enzi nasafiri na familia yangu nikiwa kama mtoto kwenda Christmas Gothenburg inaweza kumkuta kila mtu come on ninja achana na wenye uelewa finyu
Wale ni sawa na mtoto na mama riki mama hata awe mwehu mtoto hawezi kumkimbia wala kumkana atabaki kuwa mama tu japo anaweza kuondoka kufanya maisha yake ila kwao kunabaki kuwa kwao.Haya sawa... Tupo humu utakuja kuona!! Ila jua tu Harmo na Mond hawaivi tena.
Kwahyo amuoe kwa sababu tuu ya kurahisisha kuingia USA?Kwa nini wamenyimwa visa? Au waliextend muda walipokwenda USA? Ni sababu gani hasa iliyowafanya wakose visa? Harmonize muoe Sarah ili upate uraia wa Italia. Ukiwa na passport ya Italia hautahitaji visa kuingia USA ni nauli yako tu na cha muhimu usizidishe miezi mitatu kuishi huko.
Muwe mnaacha ushwahili wakati mwingine,Marekani sio Tanzania,Diamond hana jeuri ya kufanya figisu za viza kwenye ubalozi wa Marekani,nadhani wewe ndugu hujawahi hata kuomba viza,mwisho wako ni MatomboLeo harmonize hana Visa mamaee... shikamoo Mondi!! Figisu zimeaza rasmi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Wewe figisu unayoina ni kwenda ubalozi tu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Muwe mnaacha ushwahili wakati mwingine,Marekani sio Tanzania,Diamond hana jeuri ya kufanya figisu za viza kwenye ubalozi wa Marekani,nadhani wewe ndugu hujawahi hata kuomba viza,mwisho wako ni Matombo
Hakuna kitu kama hicho kwenye viza kaka anza lingine,anyway haina haja ya kutoleana mapovu hapa sababu unapokosa viza unapewa sababu za kunyimwa viza ni vizuri wahusika wakaeleza kuwa ni kwanini wamenyimwa viza badala ya kuleta tu bandiko la kukosa viza si ajabu labda wana pasipoti za kusomwa kwa mashine ambazo mwisho wake ni January mwakani na kwa hiyo hazitakidhi vigezo vya kuwa pasi iwe hai si chini ya miezi 6 huko ni kudhani kwangu tu.Wewe figisu unayoina ni kwenda ubalozi tu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kwahiyo unataka kusema Diamond ana connection na Us embassy mpaka awe na uwezo wa kuzuia konde boy asipate visa?Either wanatengeneza Kiki au kweli harmo kasepa WCB bhasi...!! Ila kusema hakuna kinachoendelea ni Uongoo Mpaka Harmo leo anazuiliwa Kuingia USA kisa hana Visa alafu wewe bado hushtuki tu...??? Harmo kaenda marekani mara ngapi???
Hili nalo swali.Kwahiyo unataka kusema Diamond ana connection na Us embassy mpaka awe na uwezo wa kuzuia konde boy asipate visa?
Jembe ni jembe ni nani hapo WCB ?Kamchana wapi riki? Harmo anatengeneza trend tu na mtamzungumzia sanaaaaa sasa hivi ma master wa muziki wapo WCB
.
Katoa Signed under WCB ila kaweka WCB4LIFE wewe unaelewa nini?
Nina mwanangu Wasafi media anaitwa Ton cousin anasema na bado burudani imezaliwa uuuupyaaa wanaishika wao kweli wabongo wape picha tu caption wataweka wao, Email ya harmo iko under Wasafi management sasa mbona hajaitoa aweke ingine?
Unaniangusha sana Riki
kaangalie GUNDOSAKITRMXHarmonise katoa nyimbo zaidi ya 10 zinafuatilieni views zake YouTube kabla ya kumpa kibri...
Kwanza dogo yupo under wcb bado na pili hata akitoka basi mjue kabisa hafiki mbali maana kuna kitu kakosa nacho Ni ubunifu katika nyimbo na kipaji hicho bongo anacho Simba mwenyewe basiiiiiii.
Nandy amekosa kwasababu alipeleka akaunti yake ubalozini US EMBASSY na alipoulizwa milioni mia sita 600 mil amepataje akakosa maelezo, akapewa nafasi ya kukata rufaa alete vielelezo vya benki na TRA kwamba hilo pato kalipia kodi napo akakosa , ndio kanyimwa, na wamarekani hawatakaa wampe, maana hana maelezo ya fedha chafu ambapo kati ya hizo zipo alizo hongwa na mkuu fulani wa wilaya kule mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa anataka show kwa nguvu na akamvamia hotelini, japo jamaa hakuweza kumgonga, huyo DC mke wake ni mmassai, sasa anataka penzi la mjini mjini.Katika tamasha linalofanywa usiku huu wa tarehe 10/08/2029 Uko nchini Marekani New York.
Harmonize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia nchini Marekani katika tamasha la Oneafrica_Musicfest.
Uku Diamond Platnumz ndiye msanii aliyefanikiwa kutumbuiza kwenye tamasha hilo.View attachment 1177939View attachment 1177940View attachment 1177941
Mkuu umejichanganya kwenye maelezo umesema akaunti yake ina dola laki 2 hapohapo unasema anaishi nazo kwake au mi ndo sijakulewa au sijui maana ya akaunti.Nandy amekosa kwasababu alipeleka akaunti yake ubalozini US EMBASSY na alipoulizwa milioni mia sita 600 mil amepataje akakosa maelezo, akapewa nafasi ya kukata rufaa alete vielelezo vya benki na TRA kwamba hilo pato kalipia kodi napo akakosa , ndio kanyimwa, na wamarekani hawatakaa wampe, maana hana maelezo ya fedha chafu ambapo kati ya hizo zipo alizo hongwa na mkuu fulani wa wilaya kule mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa anataka show kwa nguvu na akamvamia hotelini, japo jamaa hakuweza kumgonga, huyo DC mke wake ni mmassai, sasa anataka penzi la mjini mjini.
Harmoniser, yeye aliwahi kukutwa na bangi, na records zipo polisi, na ndio sababu kubwa, yeye akaunti yake ina dola laki mbili USD 22,000,000/- naa zote ameelezea kuwa ni za muziki na uzuri ametoa maelezo yaliyo nyooka sema wamshangaa fedha zote anaishi nazo Goba kwake, okay ubalozi ulienda mbali zaidi na kuhoji sababu za kukwepa benki akakosa jibu ila inasemekana fedha nyingi aliptankwenye kamisheni kwenye ile "ishu nyeusi" na pia aliwahi kuuza sembe wakati anaanza ila kwa sasa ameacha. Hana rekodi ya kulipa kodi na TIN yake TRA Mwenge haisomi kabisa, yaani machinga anayelipa 20000 kwa mwaka wakati huyu jombii halipi kitu .Hapa ndipo namwelewa mh Jiwe
Mkuu dola laki 2 ni usd 200,000 sio 2,2000,000$ ulizoandika weweNandy amekosa kwasababu alipeleka akaunti yake ubalozini US EMBASSY na alipoulizwa milioni mia sita 600 mil amepataje akakosa maelezo, akapewa nafasi ya kukata rufaa alete vielelezo vya benki na TRA kwamba hilo pato kalipia kodi napo akakosa , ndio kanyimwa, na wamarekani hawatakaa wampe, maana hana maelezo ya fedha chafu ambapo kati ya hizo zipo alizo hongwa na mkuu fulani wa wilaya kule mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa anataka show kwa nguvu na akamvamia hotelini, japo jamaa hakuweza kumgonga, huyo DC mke wake ni mmassai, sasa anataka penzi la mjini mjini.
Harmoniser, yeye aliwahi kukutwa na bangi, na records zipo polisi, na ndio sababu kubwa, yeye akaunti yake ina dola laki mbili USD 22,000,000/- naa zote ameelezea kuwa ni za muziki na uzuri ametoa maelezo yaliyo nyooka sema wamshangaa fedha zote anaishi nazo Goba kwake, okay ubalozi ulienda mbali zaidi na kuhoji sababu za kukwepa benki akakosa jibu ila inasemekana fedha nyingi aliptankwenye kamisheni kwenye ile "ishu nyeusi" na pia aliwahi kuuza sembe wakati anaanza ila kwa sasa ameacha. Hana rekodi ya kulipa kodi na TIN yake TRA Mwenge haisomi kabisa, yaani machinga anayelipa 20000 kwa mwaka wakati huyu jombii halipi kitu .Hapa ndipo namwelewa mh Jiwe
Chai.Nandy amekosa kwasababu alipeleka akaunti yake ubalozini US EMBASSY na alipoulizwa milioni mia sita 600 mil amepataje akakosa maelezo, akapewa nafasi ya kukata rufaa alete vielelezo vya benki na TRA kwamba hilo pato kalipia kodi napo akakosa , ndio kanyimwa, na wamarekani hawatakaa wampe, maana hana maelezo ya fedha chafu ambapo kati ya hizo zipo alizo hongwa na mkuu fulani wa wilaya kule mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa anataka show kwa nguvu na akamvamia hotelini, japo jamaa hakuweza kumgonga, huyo DC mke wake ni mmassai, sasa anataka penzi la mjini mjini.
Harmoniser, yeye aliwahi kukutwa na bangi, na records zipo polisi, na ndio sababu kubwa, yeye akaunti yake ina dola laki mbili USD 22,000,000/- naa zote ameelezea kuwa ni za muziki na uzuri ametoa maelezo yaliyo nyooka sema wamshangaa fedha zote anaishi nazo Goba kwake, okay ubalozi ulienda mbali zaidi na kuhoji sababu za kukwepa benki akakosa jibu ila inasemekana fedha nyingi aliptankwenye kamisheni kwenye ile "ishu nyeusi" na pia aliwahi kuuza sembe wakati anaanza ila kwa sasa ameacha. Hana rekodi ya kulipa kodi na TIN yake TRA Mwenge haisomi kabisa, yaani machinga anayelipa 20000 kwa mwaka wakati huyu jombii halipi kitu .Hapa ndipo namwelewa mh Jiwe
baadhi yupo nazo nyumbani na nyingine benki (EXIM)Mkuu umejichanganya kwenye maelezo umesema akaunti yake ina dola laki 2 hapohapo unasema anaishi nazo kwake au mi ndo sijakulewa au sijui maana ya akaunti.
NobodyJembe ni jembe ni nani hapo WCB ?
Either wanatengeneza Kiki au kweli harmo kasepa WCB bhasi...!! Ila kusema hakuna kinachoendelea ni Uongoo Mpaka Harmo leo anazuiliwa Kuingia USA kisa hana Visa alafu wewe bado hushtuki tu...??? Harmo kaenda marekani mara ngapi???
Naona imekuuma kusikia bwana ako harmo anatimuliwa WCB[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mondi kashamchana kuwa ana tamaa hutaki nenda insta katafute video sio kuja kunipigia kelele hapa... kujidai unajua sana process za Visa kumbe wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089] Harmo out WCB.Uelewa wako mdogo sana na mambo ya VISA haujui, ushabiki utakuu
Naomba nkuulize walio kataliwa iyo issue ni HARMO na NANDY so WCB wametia figisu mpk kwa nandy.
Afu unaposema mondi kamzingua Harmo kua anatamaa “ thibitisha kwa clip” au wapi mondi alisema.
Zaidi ya hapo acha porojo mtoto wa kiume utavalishwa dela