Nandy amekosa kwasababu alipeleka akaunti yake ubalozini US EMBASSY na alipoulizwa milioni mia sita 600 mil amepataje akakosa maelezo, akapewa nafasi ya kukata rufaa alete vielelezo vya benki na TRA kwamba hilo pato kalipia kodi napo akakosa , ndio kanyimwa, na wamarekani hawatakaa wampe, maana hana maelezo ya fedha chafu ambapo kati ya hizo zipo alizo hongwa na mkuu fulani wa wilaya kule mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa anataka show kwa nguvu na akamvamia hotelini, japo jamaa hakuweza kumgonga, huyo DC mke wake ni mmassai, sasa anataka penzi la mjini mjini.
Harmoniser, yeye aliwahi kukutwa na bangi, na records zipo polisi, na ndio sababu kubwa, yeye akaunti yake ina dola laki mbili USD 22,000,000/- naa zote ameelezea kuwa ni za muziki na uzuri ametoa maelezo yaliyo nyooka sema wamshangaa fedha zote anaishi nazo Goba kwake, okay ubalozi ulienda mbali zaidi na kuhoji sababu za kukwepa benki akakosa jibu ila inasemekana fedha nyingi aliptankwenye kamisheni kwenye ile "ishu nyeusi" na pia aliwahi kuuza sembe wakati anaanza ila kwa sasa ameacha. Hana rekodi ya kulipa kodi na TIN yake TRA Mwenge haisomi kabisa, yaani machinga anayelipa 20000 kwa mwaka wakati huyu jombii halipi kitu .Hapa ndipo namwelewa mh Jiwe