Hamornize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia Marekani kwa ajili ya show,huku Diamond Platinumz afanikisha katika tamasha la oneafrica_music festival.

Hamornize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia Marekani kwa ajili ya show,huku Diamond Platinumz afanikisha katika tamasha la oneafrica_music festival.

Kiba ashatimba us kitambo kbla hata diamond hajawa star....

Ova
 
Ukienda ubalozi for visa. MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA. Figisu figisu fanyieaneni huko level ya Taifa, mkoa, wilayani na Kata.
 
Back
Top Bottom