R.I.P CoolioEducation is the key of life . Harmonize ni uneducated fool with money on his mind
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P CoolioEducation is the key of life . Harmonize ni uneducated fool with money on his mind
Binti Masanja ni destroyer kama CASEMIRO TU😝😝😝😝Hela zimekata kwa upuuzi wa kuhonga malaya renji,sasa hv anakumbuka hela za views.
Ujinga mzigo
Aamke kwanza yeye ndiyo aje awaze namna ya kuamsha wengine, hajui hata taratibu za kudai haki ndiyo kiki on fleek kwenye Insta-story.Binafsi naona ameamua kuamsha walio lala.. Kosa lake ni lipi hapo?
Kuna uwezekano mtoa Mada ukawa ndie unaestahili kuoewa hii elimu maana ni kama huelewi hivi
HahahaaaaaasBinti Masanja ni destroyer kama CASEMIRO TU😝😝😝😝
Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU..!!! ELIMU..!!! ELIMU…!!!
Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.
Leo Nimemkumbuka Mh. Edward Ngoyai Lowassa baada ya Kuona Malalamiko Ya Harmonize kupitia Insta Stort Yake. Harmonize Analalamikia kutokulipwa Pesa Za Mauzo ya Mziki wake na Kutishia Kutafuta Distribution and Publucation company Mpya Kama kampuni Ya Mzikii haitaweza Kumsaidia.
Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa hata Kwangwaru ambayo ilifikisha Views Millioni 100 hakupata Hata USD Dollar 1 ya Distrubution and Publication. Ameomba Mzikii wamuoneshe njia Ya Yeye kupata hizo haki zake. Back to the Point, Harmonize Anakosa ELIMU..!!! ??? Au Ameamua Maisha Yake yawe kuwa Kila Mwaka Awe na Jambo…??
Harmonize katika Maandiko yake Ameonesha Kuwaalaumu na Kuwavaa Record Lable ya Wasafi Kama Wanyonyaji na wanaendelea Kumnyonya kupitia Distribution and Publication ya Kazi Zake. Tulisha Jadiri na Kumshauri Harmonize Kuwa Sisi anao Tulalamikia Instagram hatuna Mkataba wake wala Hatuna kitu chochote kinacho Tuonesha Makubaliano waliyo yafanya Kati yake na Wasafi.
Ni vyema Harmonize Akaenda Mahakamani na Kufanya Mambo Yake kimya Kimya Bila Kuwatishia Mzikii kuwa aanaondoka Au ata fight na mtu kama anahisi Ana Haki ya Kupata Anacho stahili. Ni vyema sana hawa wasanii wakawa na ELIMU…!!! Ya Sheria Kuelewa Kwa Undani Mikataba wanayo ingia badala ya kuja Public na kutafuta Huruma Ya watu Wa Instagram kuhisi unanyonywa wakati Sio. Nacho elewa ni kuwa Ukiwa Chini Ya Record label Au Kampuni Yoyote kuna Vitu vingi kisheria unakuwa hauhisiki moja Kwa Moja na Badala Yakd kampuni inakuwa inakusimamia.
Ni wakati sasa Wa Harmonize kukubari kuwa kuna Pahala Alikosea na Hayupo Tena Wasafi. Otherwise afanye Publication ya Makubaliano waliyo yafanya Ili wale waliobobea Sheria Wamsaidie. Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.
Ni wakati sasa wa yeye kuacha Wachumba zake kuwa Ma-manager na Kuwatafuta watu wenye uweledi wamsaidie katika management ya Mziki wake. Huwezi Ukamuweka Mpenzi wako ambaye hata hamjaoana kuwa Manager wako ukategemea mafanikio.View attachment 2525256
View attachment 2525257
View attachment 2525258
"Ni lini na wewe utaacha kufuatilia malalamiko ya Harmonize???Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU..!!! ELIMU..!!! ELIMU…!!!
Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.
Leo Nimemkumbuka Mh. Edward Ngoyai Lowassa baada ya Kuona Malalamiko Ya Harmonize kupitia Insta Stort Yake. Harmonize Analalamikia kutokulipwa Pesa Za Mauzo ya Mziki wake na Kutishia Kutafuta Distribution and Publucation company Mpya Kama kampuni Ya Mzikii haitaweza Kumsaidia.
Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa hata Kwangwaru ambayo ilifikisha Views Millioni 100 hakupata Hata USD Dollar 1 ya Distrubution and Publication. Ameomba Mzikii wamuoneshe njia Ya Yeye kupata hizo haki zake. Back to the Point, Harmonize Anakosa ELIMU..!!! ??? Au Ameamua Maisha Yake yawe kuwa Kila Mwaka Awe na Jambo…??
Harmonize katika Maandiko yake Ameonesha Kuwaalaumu na Kuwavaa Record Lable ya Wasafi Kama Wanyonyaji na wanaendelea Kumnyonya kupitia Distribution and Publication ya Kazi Zake. Tulisha Jadiri na Kumshauri Harmonize Kuwa Sisi anao Tulalamikia Instagram hatuna Mkataba wake wala Hatuna kitu chochote kinacho Tuonesha Makubaliano waliyo yafanya Kati yake na Wasafi.
Ni vyema Harmonize Akaenda Mahakamani na Kufanya Mambo Yake kimya Kimya Bila Kuwatishia Mzikii kuwa aanaondoka Au ata fight na mtu kama anahisi Ana Haki ya Kupata Anacho stahili. Ni vyema sana hawa wasanii wakawa na ELIMU…!!! Ya Sheria Kuelewa Kwa Undani Mikataba wanayo ingia badala ya kuja Public na kutafuta Huruma Ya watu Wa Instagram kuhisi unanyonywa wakati Sio. Nacho elewa ni kuwa Ukiwa Chini Ya Record label Au Kampuni Yoyote kuna Vitu vingi kisheria unakuwa hauhisiki moja Kwa Moja na Badala Yakd kampuni inakuwa inakusimamia.
Ni wakati sasa Wa Harmonize kukubari kuwa kuna Pahala Alikosea na Hayupo Tena Wasafi. Otherwise afanye Publication ya Makubaliano waliyo yafanya Ili wale waliobobea Sheria Wamsaidie. Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.
Ni wakati sasa wa yeye kuacha Wachumba zake kuwa Ma-manager na Kuwatafuta watu wenye uweledi wamsaidie katika management ya Mziki wake. Huwezi Ukamuweka Mpenzi wako ambaye hata hamjaoana kuwa Manager wako ukategemea mafanikio.View attachment 2525256
View attachment 2525257
View attachment 2525258
Mkuu Hili si jukwaa la celebrities"Ni lini na wewe utaacha kufuatilia malalamiko ya Harmonize???
🤣🤣🤣🤣🤣Wamshauri awe anatumia Translator, apps ziko tele, bora tupambane kwenye kuongea na sio kuandika
Mkuu hebu nieleweshe tofauti yakeee[emoji848]Error in quoting
Was just joking, masterMkuu hebu nieleweshe tofauti yakeee[emoji848]
Hata nyimbo zake ximejikita kujipapambanisha ma his old master.Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU..!!! ELIMU..!!! ELIMU…!!!
Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.
Leo Nimemkumbuka Mh. Edward Ngoyai Lowassa baada ya Kuona Malalamiko Ya Harmonize kupitia Insta Stort Yake. Harmonize Analalamikia kutokulipwa Pesa Za Mauzo ya Mziki wake na Kutishia Kutafuta Distribution and Publucation company Mpya Kama kampuni Ya Mzikii haitaweza Kumsaidia.
Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa hata Kwangwaru ambayo ilifikisha Views Millioni 100 hakupata Hata USD Dollar 1 ya Distrubution and Publication. Ameomba Mzikii wamuoneshe njia Ya Yeye kupata hizo haki zake. Back to the Point, Harmonize Anakosa ELIMU..!!! ??? Au Ameamua Maisha Yake yawe kuwa Kila Mwaka Awe na Jambo…??
Harmonize katika Maandiko yake Ameonesha Kuwaalaumu na Kuwavaa Record Lable ya Wasafi Kama Wanyonyaji na wanaendelea Kumnyonya kupitia Distribution and Publication ya Kazi Zake. Tulisha Jadiri na Kumshauri Harmonize Kuwa Sisi anao Tulalamikia Instagram hatuna Mkataba wake wala Hatuna kitu chochote kinacho Tuonesha Makubaliano waliyo yafanya Kati yake na Wasafi.
Ni vyema Harmonize Akaenda Mahakamani na Kufanya Mambo Yake kimya Kimya Bila Kuwatishia Mzikii kuwa aanaondoka Au ata fight na mtu kama anahisi Ana Haki ya Kupata Anacho stahili. Ni vyema sana hawa wasanii wakawa na ELIMU…!!! Ya Sheria Kuelewa Kwa Undani Mikataba wanayo ingia badala ya kuja Public na kutafuta Huruma Ya watu Wa Instagram kuhisi unanyonywa wakati Sio. Nacho elewa ni kuwa Ukiwa Chini Ya Record label Au Kampuni Yoyote kuna Vitu vingi kisheria unakuwa hauhisiki moja Kwa Moja na Badala Yakd kampuni inakuwa inakusimamia.
Ni wakati sasa Wa Harmonize kukubari kuwa kuna Pahala Alikosea na Hayupo Tena Wasafi. Otherwise afanye Publication ya Makubaliano waliyo yafanya Ili wale waliobobea Sheria Wamsaidie. Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.
Ni wakati sasa wa yeye kuacha Wachumba zake kuwa Ma-manager na Kuwatafuta watu wenye uweledi wamsaidie katika management ya Mziki wake. Huwezi Ukamuweka Mpenzi wako ambaye hata hamjaoana kuwa Manager wako ukategemea mafanikio.View attachment 2525256
View attachment 2525257
View attachment 2525258
🤣🤣🤣🤣🤣💯Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.
Hata mleta mada nae analalamika ila halioni hilo bado.Kila mtu huwa analalamika kwa njia zake hata hao anaowalalamikia nao walikuwa wanalalamikia clouds lakini hawakuwahi kwenda mahakaman.
So kulalamika ni jambo la kawaida