Hamornize ni lini ataacha malalamiko?

Binafsi naona ameamua kuamsha walio lala.. Kosa lake ni lipi hapo?

Kuna uwezekano mtoa Mada ukawa ndie unaestahili kuoewa hii elimu maana ni kama huelewi hivi
Aamke kwanza yeye ndiyo aje awaze namna ya kuamsha wengine, hajui hata taratibu za kudai haki ndiyo kiki on fleek kwenye Insta-story.
Yeye alipambana kwa udi na uvumba ili Rayvanny afungwe jela baada ya kuwa ameshamchonganisha kwa kumrekodi katika maongezi ambayo Vanny alikuwa upande wake mpaka wakawa archenemies leo ajifanye anampigania mtu ambaye in reality anamchukia with all his heart, he is just seeking for stunts.
By just using simple common sense producers wake na Zombie ni wapi wana unafuu wa kimaisha au ni wapi wana-exposure ya kujitambua na kupambania what's rightfully theirs.
Aache bangi kama ana kichwa cha panzi, lawyers awape kazi wampambanie kwani huko Insta-story hakuna majibu ya maswali yake.
 
Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.
 
"Ni lini na wewe utaacha kufuatilia malalamiko ya Harmonize???
 
Hiyo management yake inafanya kazi gani? Wanapataje faida kwenye biashara yao na Harmonize kama mikataba kama hii hawaifanyii kazi?

Nachoona wengi ni waganga njaa kupitia jina la Harmonize, otherwise Harmonize anataka huruma ya jamii kwenye mambo ambayo amekosea tayari.
 
Huyu jamaa Hana management Yan management ni yeye mwenyew akiamua leo manager awe mama atakuwa awe mdogo wake atakuwa Yan kwa msingi huo Hana management Zaid anategemea kiki na kulalamika Zaid ili aonekane anafanya kazi Yan mapato ya nyimbo unakosa kwa miaka Saba Yan mwaka wa kwanza tu angkuwa amekosa lzm angeanza kulalamika Leo ameona anapiga show za club na marathon ndo anaanza kulalamika sahiz harmonize hawezi kwenda kula Bata ulaya kwakuwa pesa hakuna au coraboration na wasanii wakubwa sahiz haipo nikuzunguka humu kwakuwa management yake Haina kitu kwa sabab kila kinachoingia anakitumia
 
Hata nyimbo zake ximejikita kujipapambanisha ma his old master.
If you quit from your master you have to be the master
yourself.
 
Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.
🤣🤣🤣🤣🤣💯
 
Sasa wewe na Harminize mnatofauti gani? Yeye kalalamika kwenye Insta page yake na wewe unamshauri huku JF!

Kwanini usimshauri direct yeye mwenyewe kama unajiona unajua kushauri?
 
Kila mtu huwa analalamika kwa njia zake hata hao anaowalalamikia nao walikuwa wanalalamikia clouds lakini hawakuwahi kwenda mahakaman.
So kulalamika ni jambo la kawaida
Hata mleta mada nae analalamika ila halioni hilo bado.
 
Kwani kuna jambo gani limetokea huko Daslam? Tuelewesheni sie wenzenu wa mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…