Hamster255 / Nikstan254 Unemployed

Hamster255 / Nikstan254 Unemployed

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Niliwahi kusema kuwa JF kuna wakenya wasio kuwa na employment both self and employed. Wengine walidai kuwa wanafanya online trading business nikasema okay its not bad.
Huyu baby mama amekili kuwa yuko unemployed
Screenshot_20180320-180854.png

My Take: Kwanini asifungue thread yakupata elimu juu yakupata ajila au kutengeneza ajila binafsi.?
Watuwengi uzani iliuweze anzisha kampuni yako binafsi unaitaji capital, ukweli nikwamba sikweli.
Mimi contract yangu ya kwanza (tender) ilikuwa na dhamani ya Ksh 7,500,000/= Tshs 150,000,000/=. Sikutumia hata senti yangu moja kutoka mfukoni na ilikuwa tender ya kwanza kwangu. Sema kwa kutumia akili yakuzaliwa niliweza pata advancement payment kutoka kwa mwenye kazi nakufanya kazi nakulipwa pesa iliyo baki.
Pesa nyingi inaishi kwenye makaratasi(paper work) kuliko bithaa(manufactured goods). Tatizo vilaza wengi wanashindwa kucheza na karatasi. Hata BOQ ukimtajia mtu kwenye tender anaweza kukimbia akaiyona kama ukoma.

Kushilikiana pia ningumu kwa watu kama hawa akina Hamster255 kutokana nakutotaka kubishana kwa hoja.
Mtu mwelevu niyule anaesikiliza sana kuliko kuongea.

Duniani utofauti kati ya masikini na tajili sio kwamba tajili yuko na pesa masikini hana pesa. Thats no true. Utofauti nikuwa tajili pesa inamfanyia kazi masikini anaifanyia kazi pesa. Make money work for you and don't work for money. You can only achieve that once you use the power of your mind than the money itself only through co-operating with others.
Namster255 zinduka. Dont be a slave of money, enslave the money. Ajila utapata ukiamua kuchukua the first step. Its always painful but it pays a lot at the end once you set your target goal. Kuna msemo unasema " kama unataka kufika kwenye mwezi lenga nyota.'' Think beyond employment. Think about employing others.
 
Mada ya kipuuzi, kiswahili cha Congo, Brazzaville. Jf buana. Hadi na wakazi wa Milembe siku hizi tupo nao humu humu.
 
Umejuaje mimi natoka Congo. Its 100% true. Nimewapa somo. Nawasaidia na unemployment inayo wakabili hapo Kenya. Kesho nikitulia nitawapa somo la how Kenya can survive from high rate of unemployment
Isingekuwa nie wakikuyu kuniibia ningewaajili sana wa Kenya. Tatizo wizi. So the only solution employ your self
 
Kiswahili kibovu, kiingereza kibovu zaidi. Stress na frustration sawa na za mkimbizi.
Kabisa mkuu stress za unemployment zina watesa sana. Nilichosema jana kitatimia leo.
Umebaki kuhara
 
Niliwahi kusema kuwa JF kuna wakenya wasio kuwa na employment both self and employed. Wengine walidai kuwa wanafanya online trading business nikasema okay its not bad.
Huyu baby mama amekili kuwa yuko unemployedView attachment 720732
My Take: Kwanini asifungue thread yakupata elimu juu yakupata ajila au kutengeneza ajila binafsi.?
Watuwengi uzani iliuweze anzisha kampuni yako binafsi unaitaji capital, ukweli nikwamba sikweli.
Mimi contract yangu ya kwanza (tender) ilikuwa na dhamani ya Ksh 7,500,000/= Tshs 150,000,000/=. Sikutumia hata senti yangu moja kutoka mfukoni na ilikuwa tender ya kwanza kwangu. Sema kwa kutumia akili yakuzaliwa niliweza pata advancement payment kutoka kwa mwenye kazi nakufanya kazi nakulipwa pesa iliyo baki.
Pesa nyingi inaishi kwenye makaratasi(paper work) kuliko bithaa(manufactured goods). Tatizo vilaza wengi wanashindwa kucheza na karatasi. Hata BOQ ukimtajia mtu kwenye tender anaweza kukimbia akaiyona kama ukoma.

Kushilikiana pia ningumu kwa watu kama hawa akina Hamster255 kutokana nakutotaka kubishana kwa hoja.
Mtu mwelevu niyule anaesikiliza sana kuliko kuongea.

Duniani utofauti kati ya masikini na tajili sio kwamba tajili yuko na pesa masikini hana pesa. Thats no true. Utofauti nikuwa tajili pesa inamfanyia kazi masikini anaifanyia kazi pesa. Make money work for you and don't work for money. You can only achieve that once you use the power of your mind than the money itself only through co-operating with others.
Namster255 zinduka. Dont be a slave of money, enslave the money. Ajila utapata ukiamua kuchukua the first step. Its always painful but it pays a lot at the end once you set your target goal. Kuna msemo unasema " kama unataka kufika kwenye mwezi lenga nyota.'' Think beyond employment. Think about employing others.
entre.JPG
 
Wakenya wa humu wengi pangu pakavu wale wenzao wako bize wanakwapuliana huko
 
Back
Top Bottom