Hamu ya mahusiano imekatishwa na utandawazi!

Hamu ya mahusiano imekatishwa na utandawazi!

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
2,533
Reaction score
5,837
Zamani miaka ya 2005 kurudi nyuma mapenzi yakikuwa na mvuto sana. Ie kulikuwa na commitment ya mahusiano baina ya wapendanao na hata mmoja akisafiri kwenda mkoa mwingine still wapenzi walivumiliana! Saivi mapenzi yamekuwa rahisi sana, mnakutana leo then naomba namba yako kesho mmeshakulana 😂😂😂 Maisha ya nyuma hapo nyapu tulizisotea sana thus hata mabinti walikuwa na mapenzi ya kweli kutokana na uaminifu.
 
Kutongoza binti mwaka mzima ilikuwa kawaida, na hapo bado nyapu ambayo nayo utaisotea kweli kweli
 
in fact ni kwamba hakuna kilichobadilika, hakuna zamani yoyote. Ni vile ulikuwa hujakua kiasi cha kuyaona yaliyopo kwenye hii phase.

hata watoto wadogo sahv wanaona dunia iko poa imetulia tu, na mahusiano yana uaminifu, ila akifika miaka ya kuyatambua haya atasema zamani kipindi cha gen z mahusiano yalikuwa bora.

kaa tulia mkuu, mengi ya kustaajabisha yanakuja kwa kila phase

NO ONE IS CRAZY
 
We hukua na mvuto bhana au familia yenu ilikua na low status
 
Zamani miaka ya 2005 kurudi nyuma mapenzi yakikuwa na mvuto sana. Ie kulikuwa na commitment ya mahusiano baina ya wapendanao na hata mmoja akisafiri kwenda mkoa mwingine still wapenzi walivumiliana! Saivi mapenzi yamekuwa rahisi sana, mnakutana leo then naomba namba yako kesho mmeshakulana 😂😂😂 Maisha ya nyuma hapo nyapu tulizisotea sana thus hata mabinti walikuwa na mapenzi ya kweli kutokana na uaminifu.
USINIKUBALI HARAKA BY FID Q
 
Back
Top Bottom