Miaka hii nyapu njenje.ππ
Zamani kukupata mpaka nikufuatilie kwenu, siku hizi kwenye simu tu...Miaka hii nyapu njenje.ππ
Yani utake wewe tu. Hofyo sana
Hofyo sanaZamani kukupata mpaka nikufuatilie kwenu, siku hizi kwenye simu tu...
USINIKUBALI HARAKA BY FID QZamani miaka ya 2005 kurudi nyuma mapenzi yakikuwa na mvuto sana. Ie kulikuwa na commitment ya mahusiano baina ya wapendanao na hata mmoja akisafiri kwenda mkoa mwingine still wapenzi walivumiliana! Saivi mapenzi yamekuwa rahisi sana, mnakutana leo then naomba namba yako kesho mmeshakulana πππ Maisha ya nyuma hapo nyapu tulizisotea sana thus hata mabinti walikuwa na mapenzi ya kweli kutokana na uaminifu.