Hamuniwezi, Nimegundua kuna WanaJF wanamhonga Maxence Melo na Mods ili nipigwe BAN

Ndio, Hamuniwezi

- Kuna watu wako tayari kuhakikisha napigwa BAN mara kwa mara na wametenga fungu kwa ajili ya kutembeza mlungula. Nasema nitadeal nao

Nawasihi kuachana na mpango huo haraka
Nilivyosoma Heading nikajua ni Deo Kisandu!
 
huu uzi hauna maisha kabisa
nadhani mnajua mods hawajawah kumuacha mtu salama
*virginboy*
 
MMmh. who are you in jf by the way ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…