Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe wewe nani kwanza
Labda Online Pastor alete upako humu vinginevyo ZONGO/JUJU lazima lihusikeKila la kheri
Bashite ndio nani?bashite huyo
Umetisha MkuuNdio, Hamuniwezi
- Kuna watu wako tayari kuhakikisha napigwa BAN mara kwa mara na wametenga fungu kwa ajili ya kutembeza mlungula. Nasema nitadeal nao
Nawasihi kuachana na mpango huo haraka
Mungu anasaidia mzima kabisa wa afya teleVizuri sana ndugu nawe mzima lakini?
Basi tulia hivyo hivyo tushakufahamuMimi simjui zuwena