Hamza aombewa kila kona

Ndio alipopigwa risasi huku amelala barabani alikuwa hana silaha!!
Cha msingi alikipata alichokitafuta, na waliomdanganya ataenda kula uroda wa mahururain 72 , walimwingiza chakike badala ya kuufahidi uroda FUNZA NDIO ZIMEMGEUZA URODA kwa kutafuna na kuingia kila sehemu ya mwili wake
 
Mtoa mada huyo alikuwa bosi wako nini maana mnateteana magaidi.
 
Meseji yake ilifika japo haikufanyiwa kazi. Nachukia polisi
haikufanyiwa kazi sababu alimtaja allah kati kati,akaharibu message nzima.


nyinyi wengine mnaojinasibisha naye ni shobo zenu tu,harakati zenu na zake ni tofauti.
 
Polisi wetu hawana weledi, hawakuwa na sababu ya kumuua mtu aliyejisalimisha!! Walitakiwa wamchukue na kumuhoji na hapo wangejua mengi kuhusu motive yake ilikuwa nini?
elezea hamza alijisalimishaje???

hamza amekufa anarusha risasi unasema alijisalimisha,ni kichaa kinakupelekesha.
 
Cha msingi alikipata alichokitafuta, na waliomdanganya ataenda kula uroda wa mahururain 72 , walimwingiza chakike badala ya kuufahidi uroda FUNZA NDIO ZIMEMGEUZA URODA kwa kutafuna na kuingia kila sehemu ya mwili wake
π‘°π’•π’‚π’‡π’Šπ’Œπ’‚ π’˜π’‚π’Œπ’‚π’•π’Š π’π’‚π’˜π’† π’–π’•π’‚π’“π’–π’…π’Šπ’”π’‰π’˜π’‚ π’Žπ’‚π’—π’–π’Žπ’ƒπ’Šπ’π’Š π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π‘¨π’π’Šπ’—π’šπ’π’“π’–π’…π’Šπ’”π’‰π’˜π’‚ π‘―π’‚π’Žπ’›π’‚.
Mungu mbariki Hamz

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…