Hamza aombewa kila kona

Hamza aombewa kila kona

Ndio alipopigwa risasi huku amelala barabani alikuwa hana silaha!!
Cha msingi alikipata alichokitafuta, na waliomdanganya ataenda kula uroda wa mahururain 72 , walimwingiza chakike badala ya kuufahidi uroda FUNZA NDIO ZIMEMGEUZA URODA kwa kutafuna na kuingia kila sehemu ya mwili wake
 
Mtoa mada huyo alikuwa bosi wako nini maana mnateteana magaidi.
 
Polisi wetu hawana weledi, hawakuwa na sababu ya kumuua mtu aliyejisalimisha!! Walitakiwa wamchukue na kumuhoji na hapo wangejua mengi kuhusu motive yake ilikuwa nini?
elezea hamza alijisalimishaje???

hamza amekufa anarusha risasi unasema alijisalimisha,ni kichaa kinakupelekesha.
 
Attachments

  • IMG-20220528-WA0006.jpg
    IMG-20220528-WA0006.jpg
    38 KB · Views: 15
  • IMG-20220528-WA0008.jpg
    IMG-20220528-WA0008.jpg
    51.7 KB · Views: 14
  • IMG-20220528-WA0007.jpg
    IMG-20220528-WA0007.jpg
    56.3 KB · Views: 16
Cha msingi alikipata alichokitafuta, na waliomdanganya ataenda kula uroda wa mahururain 72 , walimwingiza chakike badala ya kuufahidi uroda FUNZA NDIO ZIMEMGEUZA URODA kwa kutafuna na kuingia kila sehemu ya mwili wake
𝑰𝒕𝒂𝒇𝒊𝒌𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒏𝒂𝒘𝒆 𝒖𝒕𝒂𝒓𝒖𝒅𝒊𝒔𝒉𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒗𝒖𝒎𝒃𝒊𝒏𝒊 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝑨𝒍𝒊𝒗𝒚𝒐𝒓𝒖𝒅𝒊𝒔𝒉𝒘𝒂 𝑯𝒂𝒎𝒛𝒂.
Mungu mbariki Hamz

Back
Top Bottom