Rommy...
Kitabu cha Abdul Sykes kipo Ibn Hazm Bookshop Msikiti wa Mtoro na Msikiti wa Manyema jirani hapo Mtaa wa Livingstone na Mahiwa na Mtaa wa Mafia na Lumumba Avenue.
Kitabu cha Nyerere Tanzania Publishing House Samora Avenue hivyo vingine havipatikani.