Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
AKILI KUBWA: KIBWANA HAMZA MWAPACHU (1913 - 1962) KATIKA KUUNDA TANU
Katika kitabu cha Abdul Sykes nimemtaja Hamza Mwapachu mara 42.
Katika kitabu cha historia ya Julius Nyerere kilichaondikwa na Prof. Shivji na waandishi wengine Hamza Mwapachu katajwa mara 9.