Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Nataka niwe HAMZA. Sasa wakujitolea kunidhulumu aje.
 
Alisema kweli na video zipo. Abiria aliyekuepo kwenye daladala alirecord na anaonekana kabisa akisema. Hakusema KWAMBA kaibiwa, hakusema

Ok, huenda alisema kweli. Ila naamin kama tungeujua ukweli ambao tunaujua bila kukaza vichwa tungejua ni kwanin alisema. Hata hivo nipo upande wake
 
Good. Maelfu walimzika usiku.?
Hilo ndilo jambo nilikuwa nalifikiria..Kwamba student of psychology angependa watu waalikwe kumzika Hamza,aonee watu wangapi watakwenda.
HASA huyo terrorist anahitaji proper burial kumuombea Mungu amsamebe makosa yake.
 
Awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7 mchana katika makaburi hayo, lakini msemaji wa familia Abdulrahm Hassan alisema mwili huo ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama.
Nini sababu ya mazishi kucheleweshwa na risasi zilizotulia mahali pake?
 
Najaribu kuwaza ingekuwaje reaction ya ndugu zetu wa upande wa pili kama tukio hili lingetokea wakati Raisi ni mkristo!?harafu weka na matamshi ya IGP(ambaye ni mkrsto)akiilaumu familia ya Hamza
Bakwata wanajitambua!
 
Back
Top Bottom