Msimdanganye mwenzenu sijui kumgusa sehemu wala nini! Wewe si mwaninifu kwanini uaminiwe? Huyo dada si naive kama wadada wengi! Imani ikishatoweka imetoweka!
Msingi mkubwa wa relations zihusuzo mapenzi ni uaminifu! Anaweza kukubali kuwa na wewe lkn haimaanishi kuwa anakuamini! Mtaishi lkn atakuangalia kwa jicho la tatu na u don't want that in relation!
As a woman ngoja nikusaidie anachowaza!
-Kama ananipenda why awe na mtu mwingine?
-Kama ni X kwanini hakuniambia?
-ni huyu tu au kuna wengine?
- hivi ananionaje mimi?
-hivi hatujaona na sijachuja je akishaniweka ndani?
-hivi anajua kuna magonjwa kweli?
Hayo ni baadhi tu ya maswali! Ushauri wangu, so kila unachokitamani unakipata; muache umeshaharibu from the very begining! If hutaki kushindwa kama vidume vingi kwa ajili ya ego then, give her time, befriend her n slowly she will gain trust! Now the question is if she will need 6 month will u be able kuvumilia na kumake sure, hauharibu tena? Majibu unayo Goodluck!