Hana imani na mimi.

2liishana achana na ndo mana najarbu kumweka huyu sawa bt ye bado haniamin.

Umenena vyema mkuu kuwa naye karibu jaribu kumhakikishia kuwa hayo yamepita na umthibitishie kuwa hakuna mwingine zaidi yake



Mkuu nakushukuru kwa kutuwekea wazi hisia zenu punde mnapotustukia kuwa tumecheat!! Hili ni tatizo kubwa na nataka kukuhakikishia kuwa kama hawa watu wapo mbali ni vigumu sana kuepuka jambo hili. Nikuhakikishie kuwa kwa upande wa wanaumeni wachache wanaoweza kuvumilia kwa muda mrefu hata kama mtadanganyana na hatagundulika. Hoja ya kama ananipenda why mwingine jibu ni tamaa tu zinasukuma baadhi ya wanaume... Yawezekana anampenda sana lakini tamaa tu pamoja na kichocheo cha umbali uliopo kati yao. Tukatae tukubali mwanaume tofauti na mwanamke ameumbwa kwa tamaa na wakati mwin gine hata kama anaye aliyemuweka moyoni kwa dhati kabisa hujisikia kutest tu another type.....Sasa haimaanishi chuki kwa yule ampendaye... Kwamba ananionaje mimi yawezekana kabisa ankuona ni everything katika maisha yake.... Hata wakati mwingine akiwa huko baada ya kitendo anaishia kujilaumu kwa kula makombo wakati chakula safi anacho!!... Yupo hata mwingine aliwahi kunisimulia kuwa akiwa huko ilibidi amkumbuke mke wake ili zoezi liweze kuwa successfull..... Hopeful nimeeleweka kwa kifupi bila kumumunya maneno This are the things people do. Sasa unapomshauri waachane make sure kuwa anaweza kutengeneza orodha ndefu sana ya atakaowaacha pengine ahamue kuwa single tu na kuachana na biashara ya kuwa commited somewhere! .... Naungana na mwanasaikolojia mmoja (Stan Kennedy) aliyewahi kusema..."Loving is risky. To love is to be vulnerable giving your hearth to someone ensures it will be broken ,pierced, wounded and made malleable...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…