Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Haitokaa itokee kamweView attachment 3076459
Mnaendeleaje huko?
Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi.
Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa kuwaunganisha kina watakaye ili kumuona mama Wau.
NB: Picha hapo juu ni ya mmoja wa wasaidizi wa Rais.
Wenzio wakigombana beba jembe kalime kwa bidii.Wakipatana wewe unavuna.Chukua mchongo huo,utakusaidia.Ni Tetesi.
sasa hivi watasagiana sana kunguni
Du, kumbe!Huyo hapo ni mbeba ratiba na itifak ya Rais
KumbeHuyo hapo ni mbeba ratiba na itifak ya Rais