physioplus dar
Member
- May 15, 2019
- 69
- 23
Baadhi ya maumivu ya shingo na bega hasa yanayotekea upande mmoja huchangiwa na ubebaji wa mabegi ya mkononi
Je begi LA mkono huchangiaje maumivu?
1. Uzito mkubwa wa begi Hii husababisha misuli ya shingo na ya bega kufanya kazi kubwa na kupelekea misuli hiyo kukaza na kusababisha maumivu
2. Kupendelea upande mmoja Wengi hujisahau na kubeba begi upande mmoja tu kila siku .hii huchangia uchovu na kuumiza misuli ya shingo na ya bega ya upande huo.
Chukua hatu hizi
1- usiweke mzigo mzito kwenye begi 2- badilisha upande Mara kwa Mara
3- usibebe begi Masaa mengi katika siku
4. Fanya masaji na mazoezi ya kunyoosha misuli maeneo ya maumivu
5 -usitumie begi kubwa sana
6 - tumia begi la mikanda miwili
link ya tafiti
www.researchgate.net

(PDF) The effect of frontpacks, shoulder bags and handheld bags on 3D back shape and posture in young university students: An ISIS2 study
PDF | Students at school and university settings have been shown to carry heavy loads in a variety of pack systems. Both type and mode of load carriage have been shown to cause significant postural adaptations that can lead to injuries in the shoulder, arms, hands and back. Whilst...