HAND BAG NAMAUMIVU YA SINGO

HAND BAG NAMAUMIVU YA SINGO

Joined
May 15, 2019
Posts
69
Reaction score
23
Baadhi ya maumivu ya shingo na bega hasa yanayotekea upande mmoja huchangiwa na ubebaji wa mabegi ya mkononi

Je begi LA mkono huchangiaje maumivu?
1. Uzito mkubwa wa begi Hii husababisha misuli ya shingo na ya bega kufanya kazi kubwa na kupelekea misuli hiyo kukaza na kusababisha maumivu

2. Kupendelea upande mmoja Wengi hujisahau na kubeba begi upande mmoja tu kila siku .hii huchangia uchovu na kuumiza misuli ya shingo na ya bega ya upande huo.

Chukua hatu hizi

1- usiweke mzigo mzito kwenye begi 2- badilisha upande Mara kwa Mara
3- usibebe begi Masaa mengi katika siku
4. Fanya masaji na mazoezi ya kunyoosha misuli maeneo ya maumivu
5 -usitumie begi kubwa sana
6 - tumia begi la mikanda miwili

link ya tafiti
PSX_20190413_221230.jpeg
 
hapana sio mawe. sema unaweza weka vitu vizito kama laptop, vitabu kwa upamoja.
na wanawake huwa wanajaza vitu vingi kwenye mabegi yao.

Lakin pia hata kama ukiweka kitu ambacho kinauzito wa wastani uzito huo huo ukiubeba kwa muda mrefu utajuelemea kwakua misuli itachoka kufanya kazi na kupungua uwezo wa kuhimili huo uzito kwa muda mrefu.
Ndiyo naskia kwako,, sijui kwa wanawake au lakini hilo begi alikuwa anawekea mawe au?
 
kitaalam msuli wowote ukifanya kazi kwa muda mrefu huumia (microtrauma) na hukaza (unapata tension)hali hizi huleta maumivu kwenye msuli huo.

hii hutoke sana kwa watu wanao beba mikoba au begi la mkono mmoja kwa muda mrefu ,kila siku na kupendelea upande huo huo.
Ndiyo naskia kwako,, sijui kwa wanawake au lakini hilo begi alikuwa anawekea mawe au?
 
kitaalam msuli wowote ukifanya kazi kwa muda mrefu huumia (microtrauma) na hukaza (unapata tension)hali hizi huleta maumivu kwenye msuli huo.

hii hutoke sana kwa watu wanao beba mikoba au begi la mkono mmoja kwa muda mrefu ,kila siku na kupendelea upande huo huo.
OK,,, doctor nimekupata
 
Sasa kuna wale watoto wadogo wa shule wanabeba mabegi ya vitabu utafikiri wako University hao itakuwaje
zipo aina za mabegi ambazo zinasaidia kupunguza uzito au kuelemewa kwa mgongo.mfano yana mikanda miwili na mipana. pia yana mkanda eneo la chini ya tumbo kupunguza ulemevu wa uzito wa begi

lakini ni muhimu kama kuna uwezekano baadhi ya madaftari au vitabu kuachwa eneo la shule hii kwa shule zakishua.

lakin solution kubwa ni kupunguza idadi ya vitu vya kubeba kwenye begi.
 
Back
Top Bottom