Handbag ya Colleen Rooney inagharimu £7,000

Hii ndiyo dunia kaka yangu, wengine wanatamani waipate hii pesa walipe madeni, wengine wajenge nyumba, wengine waoe, wengine walipie matibabu na kwa wengine ni pesa ya mkoba.
wengine walipie matibabu na kwa wengine ni pesa ya mkoba.[emoji2827]
 
Wee bibi mbna km [emoji162] fakee hii? Mama Rooney kapigwaa wallah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesikia huyo ni zari au wolper binamu saa nyingine unatakiwa urudishwe kwenu majimaji kwa nguvu
Wee binamu hebu nawee, tazamaa kwan hapooo.
Usimfananishee zari na wolper weyee, Zari anachukua OG, Wolper ndo anachukua karume hapo kutunyanyasa instaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama Rooney aelezee vizuri hapa.
 
Hapana kwa huko aliko mama Rooney hata maduka ya channel yapo hii ni toleo jipy la channel
Kheeeh bas toleo bayaa, na hiyo rangii sasa aiiiiii, utasema kachukua mnadani majengo Songea lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kheeeh bas toleo bayaa, na hiyo rangii sasa aiiiiii, utasema kachukua mnadani majengo Songea lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Navile umezoea kwenda kwenye sagulasagula za majengo halafu unasogea pale kisumapai kukagua mzigo wako ili uvuke ukapande daladala unajua na mama rooney yuko songea, binamu roho itakuchomoka shauri yako
 
😂😂😂😂
 
Kanakuaga na misifa ya kijinga. Nilitaman kashindwe ile kesi ya 'wagatha' dhid ya mke wa Vardy. Kanaombaga kila siku kapate mtoto wa kike.
Ile kesi imempa umaarufu sana na kutokana na umaarufu huo atapata deal la TV series si muda mrefu. Kwa kifupi sasa hivi Coleen hawezi kuwa masikini tena hata aachane na Rooney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…