Handbag ya Colleen Rooney inagharimu £7,000

Handbag ya Colleen Rooney inagharimu £7,000

Kweli hii tabia ya kutunza vitu vingi ndani visivyokuwa na faida ni uchafu tu ndani.

Shoga yangu alifariki nguo zake vyombo tumewatunzia watoto wake wana miaka 6 na 4. Mmmh mpaka wakuwe kazi ipo.
Mngeuza wakikua wanunue upya.

Unaweka uchafu kwa miaka 20 ili waje kutupa wenyewe??
 
Back
Top Bottom