Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mngeuza wakikua wanunue upya.Kweli hii tabia ya kutunza vitu vingi ndani visivyokuwa na faida ni uchafu tu ndani.
Shoga yangu alifariki nguo zake vyombo tumewatunzia watoto wake wana miaka 6 na 4. Mmmh mpaka wakuwe kazi ipo.
Unaweka uchafu kwa miaka 20 ili waje kutupa wenyewe??