Jamani hii mitumba ikija huku ndo tunanunua elfu 30 ati[emoji28]
Mtumba wa uingereza hata kiatu ukikipata unanunua laki mbili, sisi Afrika tunatwanga mtumba wa korea kusini, korea kaskazini, china na thailand wakati mitumba ya vifaa vingi vya umeme vinatoka uarabuni yaani wanakusanya oman, qatar, saudi, wanaweka pamoja na vya dubai ndio sisi tunachukulia dubai ndio hayo mafriji, radio, tv, pasi, simu, maana electronic ya mzungu ina bei pia, wakati huo mtumba wa magari tunachota japan na dubai, kwenye ustaarabu wa mpangilio na matumizi ya vitu Duniani mzungu yupo namba moja, waarabu wako rough hawana mpangilio bora halafu mwafrika ndio tunafuatia sasa, unakuta mmejenga nyumba marehemu kafariki mwaka tisini bado nguo zake mmetunza au unakuta kuna chumba kina makorokoro hayana hata maana wala hayatimiki kosa muyachome pawe safi mnajaza vumbi ndani na wadudu ukiuliza kwa nini mnatunza huu uchafu sababu hawana.