Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,381
Hapo unaumiza gari pasipo na sababuilikuwa nzito kiasi flan mkuu japo ilitembea na nlizunguka nayo mjini hvohvo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unaumiza gari pasipo na sababuilikuwa nzito kiasi flan mkuu japo ilitembea na nlizunguka nayo mjini hvohvo
mkuu nlikuwa najaribu katika jitihada za kutaka kulijua gari langu vizuri , nothing elseSijaelewa sababu ziluzokufanya kuendesha gari bila kutoa handbreak mkuu
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Usijiaminishe sana kama ni gari ya mtumba! Ila kama ni mpya sawa!gari langu ni zima kabisa mkuu , halina ubovu wowote matter of fact halina muda
Gari yoyo iliosawa upande wa hand breakhaya magar ya siku hizi pasua kichwa sana , nikikumbuka mikangafu yetu ya zamani haiendi bila kutoa handbrake halafu siku hizi gar ukiweka D tu inateleza nashangaa sana , nije kwenye swali sasa , je kuna matatizo yoyote ya kuendesha gar huku sijatoa handbrake , maana nimejaribu jana siku nzima nimeburuza tu zaidi ya kitaa kuwaka cha kuonyesha sijatoa handbrake hakuna tatizo lililojitokeza, wataalamu mnaweza kusema kitu hapa kama kuna tatizo lolote linaloweza kujitokeza kutokana na kuendesha bila kutoa handbrake
Madhara yake...haya magar ya siku hizi pasua kichwa sana , nikikumbuka mikangafu yetu ya zamani haiendi bila kutoa handbrake halafu siku hizi gar ukiweka D tu inateleza nashangaa sana , nije kwenye swali sasa , je kuna matatizo yoyote ya kuendesha gar huku sijatoa handbrake , maana nimejaribu jana siku nzima nimeburuza tu zaidi ya kitaa kuwaka cha kuonyesha sijatoa handbrake hakuna tatizo lililojitokeza, wataalamu mnaweza kusema kitu hapa kama kuna tatizo lolote linaloweza kujitokeza kutokana na kuendesha bila kutoa handbrake
Ukiona gari ipo kwny hand brake na ukiendesha inaondoka vzr icpokuwa ni nzito kdg ni dalili kwamba hand brake tayari inahitaji service, hand brake nzima hairuhusu gari kuzungusha tairi.Automatic unaendesha bila shida yoyote ila gari inakua kama nzito hivi
thanks bro , ntaifanyia maintenance next serviceMadhara yake...
1. Unatumia mafuta mengi.
2. Unaharibu mfumo wa hand brake, kumbuka mfumo wake upo kwny tairi za nyuma.
3. Endapo handbrake inanguvu afu ukaiburuza hvyo hvyo unaweza kupelekea kuwaka moto kwa tairi za nyuma na hvyo kusababisha gari kuungua.
Kumbuka.
1. Kama system ya hand brake ni nzima na gari ikawa kwny hand brake gari haiwezi itaondoka, ukilazimisha sanaa bac tairi za nyuma zitaburuzwa na sio kuzunguka.
2. Kama system ya hand brake inafanya kazi vizuri na upo kwenye mwendo ukiingiza hand brake bac tairi za nyuma zitazuiwa kuzunguka hvyo kufanya gari ujigeuze kurudi sehemu ilipotoka au eielekee upande mwingine tofauti na ulipokuwa ukielekea.
Mwisho.
Gari yako mpk hapo haina hand brake unayoweza kuitegemea, fanya upeleke kwa fundi mwny uzoefu akairekebishe.
Kigezo chakusema gari ni mpya sio sahihi kwakuwa naamini hiyo gari ni hizi tunazotumia ambazo wenzetu wameshazitumia tayari (second hand cars).
Mawasilisha mkuu.