mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Amani hapo.niliulizia soda nikakosa. Labda handeni mjini na mkata ndo kidoogo wamestaarabika lakini vijiji vya ndani ndani hapo.ahaaa wee.utarogwaNilopigwa zongo Moja Hilo huko ni balaaa ππ uzuri wake dawa wenyewe wanazijua wakanitibu ila moto niliuona
Balaa tuliendaga handeni kwanza kuna imani nying za kishirikina,waganga wa kutosha kilichotushangaza ni nyumba nying kuwa za udongo na sio kwamba mmiliki hana uwezo hapana mwenyeji wetu alisema huku ukijenga ya tofal wanajua unapesa wanakumaliza unakuta mtu ana nyumba ya udongo ila kaweka solar [emoji23]Ogopa sana huko Handeni hela huwa zinapotea kimazingara sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sisi tulienda kukaa siku 2 ila nilivoskia story za kule usiku nilikuwa silali [emoji23][emoji23][emoji23] ni kuna wachawi balaa halaf waganga ndo wamejaaNilopigwa zongo Moja Hilo huko ni balaaa [emoji16][emoji16] uzuri wake dawa wenyewe wanazijua wakanitibu ila moto niliuona
Welewe Kubuka Lulimi"Hombo dikula munyu" jichanganye ukarogwe na vibia bia zako Handeni mchezo
Duka la dawa kwa wachawi la nn?Handeni kwa wazigua na wanguu tatizo wachawi sanaaaaa
Kuna fursa ya kufungua duka la dawa muhimu nije ??
Ohoo sasa mbona unanitisha na mimi nataka nitafute shamba nikafugie huko jamani?Nilopigwa zongo Moja Hilo huko ni balaaa ππ uzuri wake dawa wenyewe wanazijua wakanitibu ila moto niliuona
NENDA hayo mambo ya kawaidaOhoo sasa mbona unanitisha na mimi nataka nitafute shamba nikafugie huko jamani?
Kuna wamasai wengi na ndiyo watejaDuka la dawa kwa wachawi la nn?
Mkuu nafikiria mara mbili mbili duh! naweza fuga unashangaa Mbuzi anamaliza miaka 2 hazai.NENDA hayo mambo ya kawaida
Masai yenyewe inausa dawaKuna wamasai wengi na ndiyo wateja
Idea za sisi Wabongo hizi, huwezi sikia tunawaza Idea za Uzalishaji hata siku 1Habari wakuu!
Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery tuwasiliane kuna hela yako nyingi sana katika hicho kijiji. Waliopo huku wengi ni wazawa hivyo biashara kwao ni changamoto sana wanaanzisha wanaacha.
Kama itakufaa nyoo upige hela yako. Najua kuna watu watauliza kwanini mimi sifanyi nataka wengine wafanye! Jibu ni simple nafanya biashara ingine katika hichi hichi kijiji!
Kaka kufungua bar handeni ni sawa na kupeleka kitimoto uarabuni. Kwanza washirikina pili kuna watu wa dini.wewe jaribu ujioneeKupitia huu uzi nimejua kwanini watanzania wenye maendeleo ni wachache! Mindset zetu ni changamoto sana! Tuendee kuchangia kwenye ule uzi wa kulana kimasihara wakuu mambo ya fursa tuache sio fani zetu!
Masai yenyewe inausa dawa
Habari wakuu!