Soko la mchina siku zote ni maumivu tu!kuna project kama likua ihusicse soko la china ....sijui inaendelea au ilikua hamasa tuu
....kwa kuanzia wangetengeneza unga ilikuilinda mihogo yao halafu wanasafirisha unga na kuja kuuza mjini....kuliko Kusubiri mpk mabosi waje....wao wenyewe wajisogezeHabari njema hiyo, lakini mwananchi mkulima mdogo wa kaiwaida hawezi kuilewa habari kama hiyo
Hapana DC Gondwe ndiye aliyewahamasisha kulima Mihogo kwa wingi.Wale Wazigua ngoja wavune "Ujinga wao" wa kuchaguwa Wabunge wasiokuwa na manufaa kwao..,
Mbunge wao ndo amewahamasisha wapande Mihogo maana ametafuta Soko la Zao hilo la Mihogo, matokeo yake hv sasa amewatelekeza!!!
We kijana wewe kama wiki mbili hivi zilizopita kigoma walikua wanalalamika sana kuhusu hii mihogo mikavu kilo kuuzwa 200tsh kama soko lingekuepo huko sidhani ingefikia hali hyo mana nadhani mahusiano ya biashara kat ya kigoma na hizo nchi ni yakaribu sana...Mihogo mikavu inauzika sana rwanda, burund na uganda
Una uhakika na unacho ongea? Nikupe namba za mteja wa hiyo mihogo mikavu wanaopeleka burundi na rwanda kama unayoWe kijana wewe kama wiki mbili hivi zilizopita kigoma walikua wanalalamika sana kuhusu hii mihogo mikavu kilo kuuzwa 200tsh kama soko lingekuepo huko sidhani ingefikia hali hyo mana nadhani mahusiano ya biashara kat ya kigoma na hizo nchi ni yakaribu sana...
Handeni nadhani mkuu wa wilaya aingilie kati na awatafutie soko mana alilazimisha kila kaya kulima mihogo vinginevyo hatua zingechukuliwa na nadhani ilikua kujibu jitihada za mkuu kuwa hatosaidia kwenye njaa. Na kiukweli ni mingi mnooo HANDENI MIHOGO ya 500 n balaa na kila baada ya hatua 10 kuna mama anakaanga mihogo hasa maeneo ya pale mjini.
Nadhani ukiiweka humu utakua umesaidia sana mana ITV walionesha wamama wakilalamika kuhusu hyo mihogo kigoma so kwa kifupi nina uhakika mana hcho ndicho nilichokionaUna uhakika na unacho ongea? Nikupe namba za mteja wa hiyo mihogo mikavu wanaopeleka burundi na rwanda kama unayo
Mkuu Gondwe alikuwa anafanya vile kutokana na Mbunge kusema ametafuta Wachina ambao watajenga Kiwanda cha kuchakata Mihogo, hivyo Wananchi wahamasishwe kulima Mihogo kwa wingi kwakuwa ni fursa ya kibiashara ikizingatiwa Handeni hakuna Mazao ya Biashara zaidi ya Kilimo cha Mahindi tu..,Hapana DC Gondwe ndiye aliyewahamasisha kulima Mihogo kwa wingi.
Hiki ndio kipindi kizuri kwa Mbunge kwenda kwa Wakulima.Mkuu Gondwe alikuwa anafanya vile kutokana na Mbunge kusema ametafuta Wachina ambao watajenga Kiwanda cha kuchakata Mihogo, hivyo Wananchi wahamasishwe kulima Mihogo kwa wingi kwakuwa ni fursa ya kibiashara ikizingatiwa Handeni hakuna Mazao ya Biashara zaidi ya Kilimo cha Mahindi tu..,
Mwanzo mihogo ilikuwa zaidi inalimwa Kwamsisi lakini sasa imelimwa sana huko. Kuna uhusiano gani wa kuwa na acc ya bank ya nmb na soko la mihogo? taarifa zaidi please!Hii ni Meseji niliyotumiwa na Mmoja wa Katibu Kata wa Kata mojawapo iliyopo huko Handeni.
PIA TUWATANGAZIE WANAJAMII NA WAKULIMA WA MHOGO WANAOHITAJI KUFUNGUA AKAUNTI YA BENKI YA NMB AMBAYO HAINA MAKATO YOYOYE,PIA ITAMSAIDIA KUHOFADHI FEDHA ZAKE, WATU WA BANK WAYAKUJA JUMANNE TAR 14.8 .2018 NAOMBA JUMATATU NIPATE TAKWIMU YA WAHITAJI MAANA WATAPITA VIJIJI VYOTE VYA KATA YETU, TAFADHALI TOA TAARIFA KWA WAKATI, VIGEZO NI SH 10,000 NA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA ,AMBAE HANA KITAMBULISHO AJE NA PICHA YA PASPOT SIZE MOJA.
Naona Matatizo yao yanaanza kushughulikiwa.