Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watanzania wengi wanafuatilia siasa za Kenya kuliko siasa za Tanzania. Kenya wanao Uhuru wa kufanya siasa na uchakachuaji WA matokeo hakuna kama ilivyo Tanzania.
Tanzania watumishi WA umma wanafundishwa kuheshimu chama tawala wakati Kenya watu wa umma wanafundishwa na katiba kujitenga na siasa za vyama.
Tanzania watumishi WA umma wanalazimishwa wote wavae mavazi ya chama tawala, wanafunzi wanaingiliwa nakulazimishwa kuimba nyimbo za chama tawala wakati Kenya wanatii sheria na hakuna kulazimisha watoto siasa mashuleni.
Kenya handshake inatafutwa Kwa kuwaamasisha wananchi, Tanzania kuwaamasisha wananchi ni jinai.
Pale tunapoamini handshake Kenya NI muhimu tujifunze pia kuwa hata Tanzania tunapaswa kuboresha mfumo wa siasa uwalazimishe wanasiasa watafute handshake kutokana na nguvu ya umma.