St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Teh teh.... Hata me nshaamka napata chai na kiporo cha pilau cous jana sikutumia ile makitu.... So kiporo ndo mpango mzima!!!"! Karibu!!!!
charminglady ujue hizi ni dhambi kabisa,sawa bana....
Kwann mkuu... au ulitaka nikimwage kiporo changu?????
Hivi mnakuja tanga lini? Manake nimewasubiri hadi nimechoka. Uniletee mirungi na bigijii kumi plz.
mie naogopa Tanga, naskia kati ya wanawake 10, 6wamebomoka.
dah! Ndio maana kila nakopita na sioni dalili ya supu.mie nipo kanda ya ziwa mkuu