Haniulizi kwa lolote

Dah! Natamani ningekuwa kama huyo dada!! Nimepeeendaaa character yake!!! Kaikataa stress, principle ya maisha yake ni hana longolongo, nyie mshazoea kuzingua lazima uonr pasua bongo ukikutana na mtu kama huyu
 
Pumbavu kweli
 
Napenda wanawake wa hivyo mimi mwenyewe nilikuwa hivyo hivyo spendi kukaa kwenye koo la mtu mimi au nifanye vitu vizuri ili uniowe..hakuna kitu kama hicho kama unanipenda unanipenda tu.na kujipendekeza kwa mawifi sifanyi nawapenda wanaonipenda kama hunipendi bye bye.mkuu usiwe na wasi mdada huyo yupo fresh
 
Sifa kubwa nafikiri kuliko zote kwa mwanamke ni awe ni mwenye kudeka, deko ndilo uleta yote uyajuayo katika mahusiano ya kimapenzi, kwa ujumla huyu uliyenaye ajakidhi kiwango cha kuwa mke wa mtu!!!
Fuatilia kwa undani utanipa jibu!!!
 
mkuu, time is running out
mwenzio ana 33 years now..mda wa kubembeleza amechoka, na anasubir aya express kwa mumewe
wewe unamchelewesha
 
Haaaa huyo ungekuwa hujamchungulia ningekuambia unipe no zake ila huyo ni chaguo lako tu kaka alaf ni mke haijawahi tokea
 
What a woman?Yani nimempenda mnooooo!
Siku hizi na mimi nina tabia hizi...sisumbuani na mtu.
Hata afanye nini simuulizi...
Huo muda naupata wapi?
Au nianze kujilizaliza.
No time to waste [emoji108]
Kama kuna wanawake wenzangu wa hivi [emoji122] [emoji122] [emoji122].
Muda wa kukimbizana na wanaume ulishapitwa na wakati jamani!
 
Aiseeee kumbe tupo wengi eeeh?
Kwa lugha nyepesi tu sisi sio wanafiki.
Period
 
Hivi atoto nawe uko hivi?
Au bado unanyenyekea wanaume?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaa!!!
Yaani uniletee uduwanzi wa kujinunisha utegemee nikubembeleze, we nuna tu at yo own risk, ukimaliza nipe taarifa.
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] msalimie Mdakuzi.
 
Sifa kubwa nafikiri kuliko zote kwa mwanamke ni awe ni mwenye kudeka, deko ndilo uleta yote uyajuayo katika mahusiano ya kimapenzi, kwa ujumla huyu uliyenaye ajakidhi kiwango cha kuwa mke wa mtu!!!
Fuatilia kwa undani utanipa jibu!!!
Deko na hii mada ni vitu viwili tofauti mkuu.
Deko sio kunyenyekea wala kufuatiliana.
Tafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…