Haniulizi kwa lolote

Sasa unasubiri nini kumuoa?Usitegemee kubembelezwa kama mtoto wakati ni mtu mzima mapenzi yakubembelezana na kuchuniana waachie wasiojielewa na watoto wa secondary.Kama anakupenda na wewe unampenda basi hilo ndio la msingi
acha kumdanganya mwenzio bwana kuna mmoja alioa wa hivyo kudadeki kamuacha hakuna ashki ashki za kike
 
MKUU we tayari ni mtu mzima!! Soon unaingia uzeeni!! Ukianza jutafuta mambo ya utotoni itakula kwako!

Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa huyo mwanamke ni mke mwema! Huna haja ya kuruka ruka kama vijana wanaobalehe!! Tulia nae kwani umepata faida kubwa saana kwa kuwa nae!!

Binafsi sijaona mapungufu yake zaidi ya kuyaona mazuri yake!! We we ndo unaoneka bado hujatulia na unatafuta mambo ya kitoto plz marry her as soon as possible na mchango tutakuchangia!! We nifate inbox nikutumie mpesa[emoji23]

Ukiendelea kuhangaika na hivi vijanamke vya digital itakula kwako!!
 
Halafu yuko 40's eti!! Huyo ndio size yake sasa.
 
Kwanza huyu dada ana economic power inayompa ujasiri flani hivi.
Habembelezi mapenzi.

Pili,amechagua kuishi free stress life,amekupenda kwa akili na sio moyo. Moyo wake kazi yake ni kusukuma damu tu,hataki ujihusishe na mengine.

Tatu mapenzi ni kubembelezana,kama yeye hakubembelezi basi mbembeleze yeye,usijenge kuwa anayetakiwa kubembelezwa ni mwanaume tu.

Mwisho kabisa acha vituko,akichoka ataondoka kweli,ninavyomjua hataniagi...
Ohooo...
 
atoto nimekumiss sana...
 
acha kumdanganya mwenzio bwana kuna mmoja alioa wa hivyo kudadeki kamuacha hakuna ashki ashki za kike
Yaani wanaume wanavyopenda kunyenyekewa, naona tu jamaa anavyopata taabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…