Haniulizi kwa lolote

Haniulizi kwa lolote

Hahaha nmecheka saana aiseeee... huyo dada hana shida na mapenzi uwepo usiwepo yeye sawa tu.
Hata mimi nlishawahi kuwa hivyo yaaani usiponitafuta sikutafuti, ukinuna imekula kwako ila nilikuwa simpendi nilihisi siendani nae , nilijua ipo siku nitamuacha tuu so sikuona haja ya kumbembelezana wakati tutaachana......Ila baada ya mda nkaanza kumpenda na viwivu wivu , paying attention,akikosea naumia .
So jaribu kumuuliza au wewe muanze kupeti peti atajiongeza
 
Huyu dada ni kama umenisema mimi tabia za huyu dada sawa na zangu, ukiwa na mimi nikagundua una mtu nikifanikiwa kukuuliza jibu utakalonipa ndo hilo sihangaiki tena kukufuatilia najua kuna kitu sina ndo umekipata huko ila najua utarudi tu na utarudi kweli, sikuulizi mimi ninachoangalia umerudi kuna kitu huko umekosa wewe ni mtu mzima hupangiwi jinsi ya kuishi, ninachotaka uuthamini uwepo wangu basi

Umeolewa tayari? Nyie ndio wife material
 
Kuna watu wanamsifia huyo dada but ukweli ni kwamba jiongeze. Kwake ukiwepo usipokuwepo hupungukiwi chochote.

Na hiyo ni hatari.
Happiness is a choice. Mdada has chosen to live stress free life kwa ustawi wa afya ya moyo na akili yake. Amependa kwa akili,haya mapenzi ukiyaendekeza utakufa siku si zako. Nimependa hizo swaga zake.
 
Kudeka haimaanishi usiwe na msimamo au mkali, na wala sio vibaya. Tatizo huyu mwanaume mwenzetu katuangusha sana.
Hadi hapo nafikiri kweli bado hajui anachokitaka, aoe au asioe na amuoe nani.
sawa mkuu .. ngoja niendeleze madeko mie
 
Umeshasikia ile methali isemayo mafahali wawili hawakai zizi moja?? Ukimuoa tuu, hiyo methali itatimia kwako
 
Happiness is a choice. Mdada has chosen to live stress free life kwa ustawi wa afya ya moyo na akili yake. Amependa kwa akili,haya mapenzi ukiyaendekeza utakufa siku si zako. Nimependa hizo swaga zake.
unaweza kusema hivyo kwa upande 1, utakuwa right. But huyu mdada anakid na jamaa anakid. Kiuhalisia kuna vuta n kuvute hapa. So inawezekana situation imemfanya awe hivyo kutokana na background yao.

Pia, may be mshkaj hana jipya kwa huyo mdada..awepo asiwepo hapungukiwi kitu. Akimpata better than this man lazima atakuwa mwanamke tu kama wengi tulivyowazoea. Love is feelings..manzi hana feeling kwa jamaa yupo tu kutokana na situations. Na pia age ya wote imeenda...[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom